Hee kumbe na wewe Mwalimu...una gfani nyingi sana kada mwenzangu..safari hii hatutakuacha uadhirike Jamii Forum tukishinda kwa ujira wetu ule. Lazima tukupatie hata ka Wilaya hivii😛😛😛😛Sisi walimu tunaenda na Rais Magufuli kipenzi cha Watanzania
Yule mropokaji na msaliti wa Nchi Lissu atapigiwa kura na robert tu