watumishi wa uma, mnajua mlivyo teseka na mishahara, hakuna ongezeko lolote la mishahara, uonezi, utekajinyala,watu wasio julikana, ccm imekaa madalakani miaka zaidi ya 50, hakuna jipya, tunakwenda kumpigia kula mteule wa Mungu, aliyepangiwa afe lakini Mungu alimuacha, sisi watanzania kura zetu, tunampatia tundu lisu