Watumishi wa Vituo vya Mizani wametakiwa kusimamia Sheria za utunzaji wa barabara

Watumishi wa Vituo vya Mizani wametakiwa kusimamia Sheria za utunzaji wa barabara

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2022
Posts
2,780
Reaction score
6,607
Katibu Tawala wa Mkoa wa Katavi, Albert Msovera amewataka Wafanyakazi walio katika vituo vya mizani kuhakikisha wanasimamia sheria ya uthibiti ubora wa barabara ya mwaka 2016 ya Afrika mashariki na kanuni zake za mwaka 2018 zinazingatiwa ipasavyo ili kuendelea kutunza barabara zilizopo nchini.

Ameyasema hayo wakati akifungua mafunzo ya watumishi hao ambayo yamejuisha mikoa ya Kigoma, Katavi, Rukwa na Tabora ambapo mratibu wa mafunzo hayo kutoka makao makuu ya wakala wa barabara nchi ni Vincent Tarimo akisema lengo la mafunzo hayo ni kujengeana uwezo madhubuti wa usimamizi wa sheria za utunzaji wa barabara.

Soma Pia: Wamiliki vituo binafsi watakiwa kusimamia ubora wa huduma za Afya
 
Back
Top Bottom