Kwenye miti hakuna wajenziMkuu, yaani umeandika kana kwamba wote tunafaham alivyo kukosha....🤣
DCO wa katavi yule muhaya kanyooka sana watu kama hawa ni hazina kwa taifa ni vile mfumo mbovu unawameza hata watu wazuri leo bwana DCO umenikosha sana
Njoo PM😋Kwenye miti hakuna wajenzi
Safiii sanaKama nimekukosea nisamehe mkuu tafadhali ila mimi napenda watu smart bila kujali yuko wapi anafanya nini walionyooka
Anajua nilie m quoteWajenzi gani mkuu
Nilijua umepona 😅Njoo PM😋