Sesten Zakazaka
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 10,786
- 19,797
Nadhani anamaanisha OCDDCO au DSO .....ndugu mwandishi byaba biita kandi?
Nadhani anamaanisha OCDDCO au DSO .....ndugu mwandishi byaba biita kandi?
😜😜😜😜Nilijua umepona 😅
Utamponza bure alishwe sumu, serikali hii haramu haipendi watu wakweli na waadilifu, chawa na wahuni ndiyo wanapendwa huko serikalini.DCO wa katavi yule muhaya kanyooka sana watu kama hawa ni hazina kwa taifa ni vile mfumo mbovu unawameza hata watu wazuri leo bwana DCO umenikosha sana
Ooh nimesema tuUnajuaje kama mimi nikijana?
Hatumfahamu, unampigia promo? Au ndiyo we mwenyewe? Kafanya nini?DCO wa katavi yule muhaya kanyooka sana watu kama hawa ni hazina kwa taifa ni vile mfumo mbovu unawameza hata watu wazuri leo bwana DCO umenikosha sana
Atatumbuliwa soon walio nyoona hawatakiwiDCO wa katavi yule muhaya kanyooka sana watu kama hawa ni hazina kwa taifa ni vile mfumo mbovu unawameza hata watu wazuri leo bwana DCO umenikosha sana
sijui hiyo sumu uliwahi kupewaUtamponza bure alishwe sumu, serikali hii haramu haipendi watu wakweli na waadilifu, chawa na wahuni ndiyo wanapendwa huko serikalini.
Wewe na kale kadubwana ka DC ka Uzaramoni nyie ndiyo wataalam wa kuwalambisha watu sumu, wewe ulimuua Thadei Ole Mushi na kale kaandunja kalimnywesha Mzee Mangula sumu akaponea tundu ya sindano.sijui hiyo sumu uliwahi kupewa
kila dk ni sumu tu
Mtaka amenyooka lakini hawana furaha naye watu wanyoofu hawatakiwi huko.Mbona Mtaka yupo watu walionyooka wapo na Serikali natambua kwamba wapo
haha ushaokota sio?Mtaka amenyooka lakini hawana furaha naye watu wanyoofu hawatakiwi huko.
stori za vijiweni tu hizo.Wewe na kale kadubwana ka DC ka Uzaramoni nyie ndiyo wataalam wa kuwalambisha watu sumu, wewe ulimuua Thadei Ole Mushi na kale kaandunja kalimnywesha Mzee Mangula sumu akaponea tundu ya sindano.
Ngumile wa mawe ,mbakasingeMisigazi wa Ogumile