Watumishi walionyooka bado wapo, mfano DCO wa Katavi. Yule Mhaya kanyooka sana

DCO wa katavi yule muhaya kanyooka sana watu kama hawa ni hazina kwa taifa ni vile mfumo mbovu unawameza hata watu wazuri leo bwana DCO umenikosha sana

Enzi za Rais mmoja wa nchi ya Malawi, uzi za kihivi zilikuwa nyingi sanaaaaaaaa.. 😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…