Watumishi walionyooka bado wapo, mfano DCO wa Katavi. Yule Mhaya kanyooka sana

DCO wa katavi yule muhaya kanyooka sana.

Watu kama hawa ni hazina kwa Taifa. Ni vile mfumo mbovu unawameza hata watu wazuri.

Leo bwana DCO umenikosha sana
Kafanya jambo gani?
 
Au ndio dso mwenyewe kajianzishia Uzi😂😂
 
Wahaya kwa kupenda sifa na kusifiana sijaona sababu uliofanya umusifu hadharani kiasi hiki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…