GEMO
JF-Expert Member
- May 5, 2016
- 250
- 277
Pspf wanalipa pension hawalipi gratuity.....hali ni mbaya sana kwa wanyongeKweli kabisaa mzee wangu kastaafu mwezi wa 6 2017 mpka leo hakuna alichopata.....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pspf wanalipa pension hawalipi gratuity.....hali ni mbaya sana kwa wanyongeKweli kabisaa mzee wangu kastaafu mwezi wa 6 2017 mpka leo hakuna alichopata.....
Ata wewe kada!!!!!!Huyu Mhutu anakotupeleka!!,tusipogeuka!!!
Mi nijuavyo makada kindaki ndaki huwa hawakinywei kikombe.Huyu Mhutu anakotupeleka!!,tusipogeuka!!!
Tunaisoma brooo!!Mi nijuavyo makada kindaki ndaki huwa hawakinywei kikombe.
Mama yangu amestaafu tangu 2016 lkn hajapewa chake, sijui wanadhani anaishije, wanawafanyia wazazi wetu ukatili kwa kweli.Kweli kabisaa mzee wangu kastaafu mwezi wa 6 2017 mpka leo hakuna alichopata.....
Mfuko gani huo mkuu.....mi najua kuhusu Pspf wanazingua Kwasababu kuna ndugu yangu toka mwaka jana mwezi wa 6 holaaMama yangu amestaafu tangu 2016 lkn hajapewa chake, sijui wanadhani anaishije, wanawafanyia wazazi wetu ukatili kwa kweli.
Vv
Ndio huo bila shaka. Bibi mkubwa wangu alikuwa mwalimu.Mfuko gani huo mkuu.....mi najua kuhusu Pspf wanazingua Kwasababu kuna ndugu yangu toka mwaka jana mwezi wa 6 holaa
Masahihisho - Hii siyo tetesi ni Habari ya kweli kabisa , wiki 2 zilizopita tumezika Mwl Mstaafu ambaye amekufa kwa ugonjwa mwepesi sana ! kafa kwa kukosa hela baada ya kusotea mafao yake kwa miaka mitatu bila mafanikio.Kuna tetesi ambazo hazijakanushwa kwamba watumishi waliostaafu kazi hawajalipwa pesa zao na mifuko ya hifadhi ya jamii km nssf na PSPF. Tetesi hizo zinasema kuwa mifuko hii haina fedha na hali yake ni mbaya, inasemekana akiba za wafanyakazi kwa kiwango kikubwa zimechotwa na serikali ya wanyonge ya CCM na kupangiwa matumizi mengine bila kupangiwa bajeti na bunge la JMT.
Ni vema CCM na serikali yake km kweli ilichota akiba hizi za wafanyakazi kuzirejesha na kuwalipa wazee hawa kwani ni jasho lao na wamelitumikia taifa hili kwa miaka 60. Kuendelea kuwazungusha inaonyesha Serikali eidha haina pesa ama ina lengo wastaafu hawa wafe na familia zao kuja kudhurumiwa. Tunasoma mapato yameongezeka uchumi unakua kwa kasi kwanini wasilipwe visenti vyao.
Siku zote mnafiki hana rafiki.