Tetesi: Watumishi waliostaafu tangu 2016 hawajalipwa mafao yao na wanaisoma namba

Kweli kabisaa mzee wangu kastaafu mwezi wa 6 2017 mpka leo hakuna alichopata.....
Pspf wanalipa pension hawalipi gratuity.....hali ni mbaya sana kwa wanyonge
 
Ama kweli CCM ni chama cha magaidi. Hawana huruma hata chembe. Wazee wa watu wanakufa kihoro.
 
Pspf hali mbaya sana...hawajalipa idadi kubwa ya wastafu.
 
magu anafilisi nchi. anapiga dili la bombadia huku watu wanalia.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Kuna wazee fulani kila siku wapo wanazungushwa kama Tufe la Mazoezi.
 
Kweli kabisaa mzee wangu kastaafu mwezi wa 6 2017 mpka leo hakuna alichopata.....
Mama yangu amestaafu tangu 2016 lkn hajapewa chake, sijui wanadhani anaishije, wanawafanyia wazazi wetu ukatili kwa kweli.

Vv
 
Mama yangu amestaafu tangu 2016 lkn hajapewa chake, sijui wanadhani anaishije, wanawafanyia wazazi wetu ukatili kwa kweli.

Vv
Mfuko gani huo mkuu.....mi najua kuhusu Pspf wanazingua Kwasababu kuna ndugu yangu toka mwaka jana mwezi wa 6 holaa
 
Mfuko gani huo mkuu.....mi najua kuhusu Pspf wanazingua Kwasababu kuna ndugu yangu toka mwaka jana mwezi wa 6 holaa
Ndio huo bila shaka. Bibi mkubwa wangu alikuwa mwalimu.

Vv
 
Aiseee babaangu anastaaafu mwakani mbona ni shidaa sasa,,hv kwanza imeshaungana hiyo mifuko au bado,nchi hii[emoji1430]
 
Masahihisho - Hii siyo tetesi ni Habari ya kweli kabisa , wiki 2 zilizopita tumezika Mwl Mstaafu ambaye amekufa kwa ugonjwa mwepesi sana ! kafa kwa kukosa hela baada ya kusotea mafao yake kwa miaka mitatu bila mafanikio.

Mungu aiweke roho ya Marehemu mahali pema peponi , Amina
 
hizo sio tetesi ndio ukweli wenyewe.. cccm oyeeeeeee... "NASEMA PESA IPO" kwa sauti ya JpMpiana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…