Tetesi: Watumishi waliostaafu tangu 2016 hawajalipwa mafao yao na wanaisoma namba

Aisee inaumiza sana mtu anafuatilia haki yake miaka mitatu.....usumbufu, msongo wa mawazo Matokeo yake ndo hayo Kifo cha ghafla.
 
My mama toka mwaka jana mwezi wa 6 mpaka leo kimyaaaaaaaa..... Huyu magu gavamenti yake ni wasegeeeee
Ktk kufuatilia kuhusu mafao Pspf wanadai wanalipa viporo ndo wamefika mwezi wa saba mwaka jana hope mama yako kalipwa.

Mstaafu Imebidi atafute kibarua asije dharirika.....ukiwa kazini mshahara kiduchu ukistaafu stress lazima uzeeke haraka
 
Pesa zimechotwa kwenye mifuko ya hifadhi ya jamii na matumizi mabaya ndiyo yamepelekea mifuko kukaukiwa kabisa.

[emoji30] Pesa zimenunua madiwani, wabunge na kugharamia chaguzi za makusudi kabisa .

[emoji30]Pesa zimetumika kujenga viwanja vya ndege hukoo tanzania vijijini

[emoji30]Pesa zimetumika kulipa watumishi waliotumbuliwa ambao waliambiwa wakae benchi kupisha uchunguzi na wale waliowekwa benchi kusubiri kupangiwa kazi nyingine huku nafasi zao zikipewa watu wengine na hivyo mishahara kulipwa double doulbe

[emoji30]Pesa zimetumika kulipia bombadier iliyoshikwa mkia huko canada

[emoji30]Pesa zimetumika katika kuendelea kutoa ruzuku kwenye mashirika ya kiserikali yanaendelea kuendeshwa kwa hasara

[emoji30]Pesa zimetumiwa na wapigaji ambao hadi sasa navyoandika uzi huu bado wanazipiga kisawasawa.


Pesa zimetumika kwa mtumizi mengine ya hovyo sana

Wastaafu wetu kweli Pesa hakuna kwa sasa subira yenu ndio ukamilifu wa afya zenu.

Poleni sana [emoji22][emoji22][emoji22][emoji22]
 
Hali tete sana wazee inabidi warudi kutafuta vibarua mtaani la sivyo maisha yatasimama....nauli za kufuatilia mafao kila wanapopewa appointment ya kufika ofisini ni shida...... Mstaafu hajalipwa pension au Malipo ya mkupuo zaidi ya mwaka mzima what do you expect? Stress alizonazo, Hali ngumu ya kiuchumi , magonjwa nyemelezi ya uzeeni akienda Pspf anapewa jibu jepesi wanasubiri hela itoke hazina...
 

So sad [emoji25][emoji25][emoji25][emoji25]
 
Mama yangu amestaafu tangu 2016 lkn hajapewa chake, sijui wanadhani anaishije, wanawafanyia wazazi wetu ukatili kwa kweli.

Vv
Ndugu yangu Pspf wanadai wanalipa madeni mpaka June 2017 ndo waendelee na wastaafu wengine from July to date Pambana mkuu haki ipatikane.....huu ukatili wanowafanyia wazee wetu sio kabisa

Kama Pspf pekee mwaka jana Ilikuwa na wastaafu 9000+ haikuwalipa kwa wakati tafakari kwa kina watu wangapi wameumia

Hawa wazee wana familia, wanasomesha, wanauguza, wana mahitaji ya kibinadamu sasa no mshahara no pension no gratuity
 
CCM walichukuwa na kutumia kwenye campaign ya 2015 kutoka kwenye mifuko hiyo ya jamii
 
Kuna mambo yanaudhi sana Kama haya mtu anatamani atoweke Duniani maana The world is not fair
Our government fucker us everyday so sad[emoji135][emoji135][emoji135][emoji135][emoji135][emoji135][emoji135]
 

Mkuu bongo bahati mbaya niunganishe na jamaa nikazoe taka taka finland.........
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…