Watumishi wanne wa Ikulu wakutwa na COVID-19, Rais Kenyatta na familia yake wapo salama

beth

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
3,880
Reaction score
6,368
Msemaji wa Ikulu Kanze Dena amesema watumishi wanne wamethibitishwa kuwa na COVID19

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa, watumishi wote wa Ikulu akiwemo Rais Uhuru Kenyatta pamoja na familia yake walipimwa Juni 11, 2020

Waliokutwa na maambukizi wamelazwa Hospitali kwa ajili ya matitabu na familia pamoja na wale waliokuwa karibu nao wanaangaliwa

Hata hivyo, Msemaji huyo amesisitiza kuwa Rais Kenyatta pamoja na familia yake hawana maambukizi na wapo salama

===

Four people have tested positive for the novel coronavirus at State House, Nairobi.

According to State House spokesperson Kanze Dena, the four cases were recorded during a mass COVID-19 testing held on Thursday, June 11.

The infected officers were admitted at the Kenyatta University Teaching, Referral and Research Hospital in Kiambu County for treatment.

“The tests are conducted on all staff including His Excellency the President and members of his family,” said Kanze Dena, in a statement.

“Families and close contacts of the affected officers are also being attended to accordingly.”

The State House spokesperson has assured the public that President Uhuru Kenyatta and the First Family are safe and free from COVID-19.

Meanwhile, the total number of COVID-19 infections in Kenya on Monday rose to 3,727 after 133 more patients tested positive for the disease.

Health Cabinet Secretary Mutahi Kagwe, speaking in Nyandarua on a tour of the county’s health facilities, said a total of 3,365 samples were tested within the last 24 hours.
 
Wakuu,
Habari za Hivi Punde zinasema kwamba maafisa wanne wa Ikulu ya Nairobi wamekutwa na maambukizi ya Corona.

Kituo cha KTN kimetangaza habari hizo hivi punde katika kipindi cha Mbiu ya KTN kwamba taarifa hio imesema maafisa hao wamepimwa na kukutwa maambukizi hayo kutokana na utaratibu kupima ambao hufanyika Mara kwa mara hapo Ikulu.

Hata hivyo taarifa hiyo imesisitiza kwamba Raisi pamoja na familia yake hawajaambukizwa.

Chanzo;KTN News 15/06/2020

images.jpg
 
Hapo Cha msingi kuongeza juudi ya kupima tu mpaka ugonya upungue .lazimu juhudi ya kupima iongezwe tu haina jinsi
 
Wakuu,
Habari za Hivi Punde zinasema kwamba maafisa wanne wa Ikulu ya Nairobi wamekutwa na maambukizi ya Corona.

Kituo cha KTN kimetangaza habari hizo hivi punde katika kipindi cha Mbiu ya KTN kwamba taarifa hio imesema maafisa hao wamepimwa na kukutwa maambukizi hayo kutokana na utaratibu kupima ambao hufanyika Mara kwa mara hapo Ikulu.

Hata hivyo taarifa hiyo imesisitiza kwamba Raisi pamoja na familia yake hawajaambukizwa.

Chanzo;KTN News 15/06/2020

View attachment 1479540
 
Hii inatia hamasa kwa jinsi serikali yetu ilivyo wazi kwenye hili la corona, hamna kinachofichwa, rais Uhuru ameanika kabisa watu wajionee wenyewe hatari ya hiki kitu na hakuna anayesazwa. Hivyo tahadhari iendelee, pia tupime kabisa, kila mmoja pima pima pima kote kote nchi yote asiachwe mtu, na kama vipi kila mmoja awe anarudia kupimwa mara moja kila wiki.

Hili la corona naupa uongozi wetu heko, sio kama majirani wamechanganyikiwa, kila mmoja anabwatuka lake Corona imefutika Tz, mara wagonjwa ni wanne tu, mara wamesalia wagonjwa 66....majirani mnakwama wapi
 
Kweli kabisa pima pima pima pima pima kote kote nyumu pimaaaa mbele pia pimaaa pima kote kote mpaka kirusi kiishe shenzi. Nani aliwaambia mkose akili mbona mtasema kwanini kambale anatereza wakati mda wote anaoga[emoji38][emoji38]!! Hata nguo ingekuwa ukipima kitambaa tu mda wote kila cku we ukifika kazini unachukua vitambaa unapimaa tuu Kisha unafunga ofisi unaondoka ikija vyote vishajishona bc kila mtu angekuwa fundi.
 
Hii inatia hamasa kwa jinsi serikali yetu ilivyo wazi kwenye hili la corona, hamna kinachofichwa, rais Uhuru ameanika kabisa watu wajionee wenyewe hatari ya hiki kitu na hakuna anayesazwa. Hivyo tahadhari iendelee, pia tupime kabisa, kila mmoja pima pima pima kote kote nchi yote asiachwe mtu, na kama vipi kila mmoja awe anarudia kupimwa mara moja kila wiki.

Hili la corona naupa uongozi wetu heko, sio kama majirani wamechanganyikiwa, kila mmoja anabwatuka lake Corona imefutika Tz, mara wagonjwa ni wanne tu, mara wamesalia wagonjwa 66....majirani mnakwama wapi
Nchi nzima wagonjwa 66 mikoa 16 hamna mgonjwa hoa ndio watu wanaojitambua wanajikita Kwenye kiini Cha kutatua tatizo Ila kwa wale waliokomaa kuanzia shingoni kuja chini wanajikita ktk kugundua tatizo na sio kutatua, hii ndio tofauti ya kichwa[emoji1241] na kiwiliwili[emoji1139]
 
Hatari sanaa.
Endeleeni kuwa wawazi
Hii inatia hamasa kwa jinsi serikali yetu ilivyo wazi kwenye hili la corona, hamna kinachofichwa, rais Uhuru ameanika kabisa watu wajionee wenyewe hatari ya hiki kitu na hakuna anayesazwa. Hivyo tahadhari iendelee, pia tupime kabisa, kila mmoja pima pima pima kote kote nchi yote asiachwe mtu, na kama vipi kila mmoja awe anarudia kupimwa mara moja kila wiki.

Hili la corona naupa uongozi wetu heko, sio kama majirani wamechanganyikiwa, kila mmoja anabwatuka lake Corona imefutika Tz, mara wagonjwa ni wanne tu, mara wamesalia wagonjwa 66....majirani mnakwama wapi
20200616_070329.jpg
 
Back
Top Bottom