Watumishi zaidi ya 200 Wasimamishiwa mshahara kisa ESS (PEPMIS)

Watumishi zaidi ya 200 Wasimamishiwa mshahara kisa ESS (PEPMIS)

walitakiwa kuplan then utekelezaji ungekuwa barua ya ruhusa kwenda masomoni.
Wakati mwingine tuwe wakweli, kumbuka unaplan kwa mwaka unaoishia juni, 2024...ruhusa ya shule unayo mwaka wa tatu huu...hayo majukumu ya kuplan ulipewa na nani? Au yale uongo uongo kila sehemu.
 
Watumishi wa kada mbalimbali Halmashauri ya wilaya ya Rorya wamesimamishiwa mishahara yao kwa mwezi huu kwa kushindwa kufanya planning ya kazi zao kupitia mfumo wa ESS(PEPMIS). Baadhi ya watumishi hao ni pamoja na wale ambao wapo Shuleni wakijiendeleza kielimu.
hiyo siyo rorya peke yake ni tz nzima yani ni shid maaana kuna watumishi wapy wamepata chek namba huu mwezi wa pili na wenyew mshahar umesimama, hii nchi aisee cjui...
 
Watumishi wa kada mbalimbali Halmashauri ya wilaya ya Rorya wamesimamishiwa mishahara yao kwa mwezi huu kwa kushindwa kufanya planning ya kazi zao kupitia mfumo wa ESS(PEPMIS). Baadhi ya watumishi hao ni pamoja na wale ambao wapo Shuleni wakijiendeleza kielimu.
binafsi ni muhanga wa hilo tatizo na nina mwezi wa pili kazini , hii ishu ni ya tz nzima..
 
Back
Top Bottom