Watumishi wa kada mbalimbali Halmashauri ya wilaya ya Rorya wamesimamishiwa mishahara yao kwa mwezi huu kwa kushindwa kufanya planning ya kazi zao kupitia mfumo wa ESS(PEPMIS). Baadhi ya watumishi hao ni pamoja na wale ambao wapo Shuleni wakijiendeleza kielimu.