Red Giant
JF-Expert Member
- Mar 9, 2012
- 15,657
- 20,967
- Thread starter
- #21
Wengine walihasiwa na kuwa matowashi wenye kuheshimika.Ni kweli mkuu.....
Halafu hao watumwa walikuwa na "grade" kitafsiri.....
Inasemekana JAMII zilizokuwa katika VITA...wale washindwao walichukuliwa mateka na kwenda KUTUMIKISHWA vyovyote iwavyo....wako waliokaa majumbani kuwatumikia mabwana zao wapya....wako walioishi na kujikomboa kwa KUNUNUA Uhuru wao/kutolewa fedha kupatiwa Uhuru wao/kuolewa/kuzaa na mabwana zao....
Wako waliopewa heshima ya kuwa RAIA wapya.....
Ninamkumbuka "UNCLE TOM" mnyapara wa wenzake kule mashamba ya watumwa Marekani 🤣🤣🤣