Watumwa walikuwa wanaamini wazungu wanawanunua ili kwenda kuwala

Wengine walihasiwa na kuwa matowashi wenye kuheshimika.
 
Kinachoshangaza wako MACHIFU waliohusika kuwauza wenzao....je waliwatoa BURE?!!

Je hakuna familia zilizopewa fedha kutoa vijana wao waende wakafanye kazi huko "mbinguni kwa watu weupe"?!!!
nafikiri utumwa ulikua ni moja kati ya mode of production.
 
siku hizi tunapambana wenyewe kwenda na tumepewa jina la irrigal immigrants
 
kuna sehemu nilisoma wanasema USA kulikua na shamba la kuwafanya watumwa wazaliane hata ndugu kwa ndugu kama mtu anavyofuga nguruwe hivi jamaa anatupiwa hata mademu 40 awajaze mimba
 
kuna sehemu nilisoma wanasema USA kulikua na shamba la kuwafanya watumwa wazaliane hata ndugu kwa ndugu kama mtu anavyofuga nguruwe hivi jamaa anatupiwa hata mademu 40 awajaze mimba
Wale jamaa warefu wanacheza basketball hawakutokea hivihivi.
 
Pumbavu zao waliokuwa wanafanya biashara ya utumwa kwa waafrika, wajaribu tena watakiona cha mtema kuni
Sasa hivi mbona mnapambana wenyewe kwenda utumwani?

Tena wengine wanarisk maisha kwa safari za hatari baharini na mashuwa.
 
kuna sehemu nilisoma wanasema USA kulikua na shamba la kuwafanya watumwa wazaliane hata ndugu kwa ndugu kama mtu anavyofuga nguruwe hivi jamaa anatupiwa hata mademu 40 awajaze mimba
Ili watu waongezeke haraka wakalime...aisee!
 
Kabla ya wazungu na waarabu kuja Afrika kuchukua watumwa, Waafrika tayari tulikua na historia ya kuwafanya watumwa wana wa Israel miaka na miaka.
Inawezekana Africa ndio lilikua bara la kwanza (waanzilishi wa utumwa) hapa duniani.
 
Hapo kwa waarabu ebu tupatie ushahidi uliojitosheleza hata kapicha OG mzehe,, maana wakitajwa wazungu wanajumuishwa pia na waarabu, ila waarabu wakitajwa wazungu hawatajwi kiviile.
 
Kabla ya wazungu na waarabu kuja Afrika kuchukua watumwa, Waafrika tayari tulikua na historia ya kuwafanya watumwa wana wa Israel miaka na miaka.
Inawezekana Africa ndio lilikua bara la kwanza (waanzilishi wa utumwa) hapa duniani.

Hao watumwa waliochukuriwa na waarabu wako wapi? Unaweza nipatia ushaidi uliojitoshereza na kapicha OG mzehe.
 
Waliopata raha ni wale walioenda ulaya
 
True adui wa mwafrika ni mwafrika haikuanza leo
 
Leo wakija Hakuna kijana atabaki Afrika.
Zamani walichukuliwa kwa nguvu siku hizi wanajazana ubalozini kugombea viza

na green card wanacheza kwa wingi....
wanakwambia wenyewe bora uwe mbwa ulaya kuliko binadamu Africa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…