Hao waafrika waliotawala Ulaya ni Waafrika wa nchi gani? Zaidi ya Misri ikiyowatawala na kuwafanya watumwa Waisrael wa Mashariki ya mbali?Hivi kipindi Afrika imeenda kutawala ulaya walijua Sisi tukaenda kuwafanya nin?..
Historia inasema Afrika ilitawala Ulaya kabla ya wao kuja huku.. Kwa bahati mbaya historia inayofundishwa mashuleni inafanya waafrika waonekane kama vile ni wanyonge yani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Inatakiwa tushtuke kama vile China iliamua kushtuka..
Nakwambia enzi hizo zingemkuta hai na active km alivo kuwa huyu jiwe mfu!! na Makonda wake heee!! mngekomaje?? yaani mngetia huruma sana wa kwanza kwenda kuuzwa na kuliwa angekuwaKama ndivyo hivyo mbona inasemekana WAKO VIONGOZI NA MACHIFU walioshirikiana na wageni hao kuwapatia WATUMWA....