DOKEZO Waturuki wanaojenga Reli ya SGR wapo katika mgomo, inadaiwa hawajalipwa fedha zao

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
A

Anonymous

Guest
Wakati Watanzania, Wana-Afrika Mashariki na Afrika nzima wakiendelea kutazama kuhusu ujenzi wa Reli ya Kisasa ya Standard Gauge Railway maarufu kwa jina la SGR kutoka Dar es salaam hadi Mwanza ukiendelea ukiwa na jumla ya kilometa 1,219, kuna mambo kadhaa hayaendi sawa huku nyuma ya pazia.

Ipo hivi kuanzia Lot 1, 2, 3 na 4 kote kuna mgomo wa Wakandarasi Waturuki ambao ndio wana tenda ya kujenga reli hiyo katika Lot hizo, mgomo huo umeanza tangu tarehe 5 Agosti Mwaka huu 2023.

Sababu za mgomo ni kwa kuwa Waturuki hao hawajalipwa fedha zao ndani ya miezi saba iliyopita.

Tulipouliza maofisa wa Shirika la Reli (TRC) ambao sio wasemaji wanadai kuwa wao kama TRC wameshatoa fedha za malipo kw Mkandarasi, sasa swali linakuja inakuwaje wanaendelea kupiga kimya wakati mambo yanazidi kuwa magumu kwenye Mradi?

Mchanganuo wa Lot upo hivi kwa yule ambaye hana ufahamu kuhusu ninachozungumzia:

Lot 1: Dar es Salaam- Morogoro
Lot 2: Morogoro - Makutupora
Lot 3: Makutupora - Tabora
Lot 4: Tabora - Isaka

Mgomo huo umesababisha hata baadhi ya ratiba kubadilishwa, mfano Wafanyakazi Wazawa walikuwa wanaingia saa moja asubuhi na kutoka saa 12 Jioni, Jumapili walikuwa wanaingia saa 2 asubuhi wanatoka saa 8 Mchana.

Mambo yalivyo kwa sasa wanaingia Saa 2 asubuhi, wanatoka saa 8 Mchana na Jumapili hawaingii kabisa.

Hivyo, Wazawa wanaingia kazini lakini hakuna ambacho wanaenda kufanya.

Kinachotokea Wazawa wao wanalipwa na Waturuki na malipo yao yapo palepale wanalipwa kama kawaida lakini kwa kuwa muda wa kufanya kazi umepungua, malipo nayo yamepungua pia.

Hali inavyoendelea Waturuki nao watafika hatua watachoka na watataka kuacha mambo ya kulipa Wazawa bila kufanya kazi.

Taarifa niliyoisikia kuhusu utaratibu wa malipo wa TRC ni kuwa Mkandarasi anafanya kazi, ikionekana anapewa pesa yake, hivyo inavyoonekana Waturuki wameishiwa fedha kwa kuwa wapo wanaodai walituma fedha nyumbani wakati wa majanga ya tetemeko.

Lakini jambo moja la kujiuliza kama tatizo lingekuwa ni Waturuki, naamini TRC na Serikali kwa jumla wangetoa tamko fasta.

Wenzetu wanaofanya kazi katika LOT 5 na 6 chini ya Mkandarasi Mchina, wanaendelea na kazi kama kawaida.

Huku upande wa LOT 1 hadi 4 ni wazi kuna shida kubwa na inawezekana Serikali inajua ndio maana ipo kimya, kwani hata maafisa wao wa TRC tunakutana nao hukuhuku site, wanapiga stori tu kama kawaida hakuna kinachoendelea.

Serikali itoke hadharani iweke wazi kuhusu kinachoendelea.

===========
UPDATES...

MAELEZO YA SHIRIKA LA RELI TANZANIA

Akizungumzia kinachoendelea Mkuu wa Kitengo cha Uhusiano wa Shirika la Reli Tanzania (TRC), Jamila Mbarouk amesema:

"Mkandarasi hadai pesa yoyote kutoka Serikalini kama inavyodaiwa, kinachoendelea ndani ya Yapı Merkezi ni kuwa wanaodai ni Waturuki wenyewe ambao ni Wafanyakazi wa Yapi.

"Hayo ni masuala ya ndani ya Mkandarasi na Wafanyakazi wake lakini hakuna uhusiano wowote na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

"Hatua zinachukuliwa na uongozi wa TRC kuzungumza na uongozi wa Yapi ili kuona wanaweza kusaidia vipi kumaliza mambo yao ya ndani."

Soma Mkandarasi Yapı Merkezi anayejenga Reli ya SGR atoa ufafanuzi taarifa za kushindwa kuwalipa wafanyakazi wake raia wa Uturuki
 
Tanzania Ni Tajiri Wao Ni Vibarua Wetu Tutawalipa Siku Yoyote
 
we ndio kiongozi wao, kawalipe wewe maana unawashwa, huu uzushi mtumie mamako, pumbavu
 
Kwani hela wanazohonga dada zetu wanatoa wapi kama hawalipwi?
 
Kumbe Waturuki wenyewe ndio wamezingua, wamepata Wadada wa mjini wamewakomba hela, sasa hivi wanaona wanafanya kazi bure, daaadek
 
we ndio kiongozi wao, kawalipe wewe maana unawashwa, huu uzushi mtumie mamako, pumbavu
Natumai umeona taarifa ya Msemaji wa TRC kuhusu hili suala, ni kweli wala si uongo soon kazi inaweza kusimama kwa mwezi mmoja hivi.
 
Back
Top Bottom