Watusi walifikaje Mkoa wa Mbeya?

walifika kwa usafiri wa mabasi!!
 
Mnakuza mambo. Wapo mpaka Katavi
Nchi yoyote ikiwa na instability tegemea raia wake kutapakaa nchi nyingine.
 
Hivi wewe ulishawahi kujiuliza umefikaje hapo unapopaita kwenye?..
 
Sio kesi walifikaje, ishu ni kwa nini wajifiche kwenye makabila ya watu wengine wana nia gani? Kwani ni dhambi kuwa kabila lao?
Kuna dada mmoja maarufu huko anajiita Mnyakyusa ila hana kabisa "vigezo na masharti" vya wanawake wa Mbeya if you know what i'm saying. Mnyaki gani ana shepu ya Mange jamani? Wanawake wa Kinyaki wanajulikana walivyo bwana. Watu wanaiba kura na mpaka kabila. 😀😀
 
Wakt ya vita za wenyewe kwa wenyewe rwanda achana na hii ya kimbari…
Walitawanyika wengine kwenda kongo,uganda,burundi wengine tanzania

kwasababu tanzania ilikua haiwapendi kulingana na tabia zao za kupenda vita walipofika wengi walianza kujiita wachaga wahaya hata wengine kujipa makabila ya ndan nadhan hata huko mbeya watakua walifika mtundo uo uo
 
Walishushwa kutoka mbinguni.
 
Hii Tanganyika ina shinda kubwa sana kwenye suala la uhamiaji na huko mipakani. Raia kutoka mataifa mengine wanaingia nchini na kuishi bila shida yoyote ile, sasa wewe jichanganye uende kwenye mataifa yao uone utakavyo tolewa mbioo.
 
Hii Tanganyika ina shinda kubwa sana kwenye suala la uhamiaji na huko mipakani. Raia kutoka mataifa mengine wanaingia nchini na kuishi bila shida yoyote ile, sasa wewe jichanganye uende kwenye mataifa yao uone utakavyo tolewa mbioo.
ni kweli nchi nyingine huwezi ishi kizembe labda Congo
 
mbeya kuna makabila mengi labda useme kama ni mtusi
 
wako jeshini au wako kwene makundi ya waasi
Zambia Kuna sehemu ambayo Watutsi wengi wanaishi huko na kufanya biashara wengine wanasubiri permit ya refugees kwenda nje. Kule Zambia ndiyo Kituo kikubwa wanajiandikisha kama refugees na kupata fursa za kusafiri nje... Sasa ukiwaona Watutsi wengi Mbeya wapo on transit to Zambia. Wengine wapo kwenye michongo ya kusafiri wengine wameamua kufanya Maisha. Mbeya ni jirani na Zambia.
 
kwann waende zambia kwan wakiwa rwanda hawawezi safiri
 
Hawa Wamakonde walijikaje hapa Kenya.
 
Africa is for Africans,free movements zimekuwepo Karne na Karne,hata wewe kama ingekuwa na historia ya vizazi vyenu,hapa Tanzania siyo asili yetu,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…