watusi walisambaa sana tangu miaka ya 1950s wakati wa first Hutu revolution, ukienda maeneo ya Tabora, shinyanga, simiyu, mwanza, kagera, kigoma n.k, wapo wengi sana sana na ni watanzania kwa sababu wazazi wao walifika hapa kabla ya uhuru, na kwa katiba yetu mtu yeyote aliyekuwepo nchini kabla ya uhuru ni mtanzania kwa asili sio mhamiaji. kuuliza walifikaje mbeya, kwa nini usiulize walifikaje mwanza na kahama? familia zilichukuana, ukiona mjomba kakimbilia mtwara unaenda huko. hata AY huwa anajinasibu kuwa mama yake ni mtusi/mnyarwanda, sijajuaga kama kuwa mtusi ni heshima au hadhi.