Watusi walifikaje Mkoa wa Mbeya?

Umekutana na familia 10,hukupata hata mwanafamilia mmoja wa kumuuliza...unataka majibu hapa! Fine,waliingia mbeya wakitokea Gambia kupitia mpaka wa palestina huko Brazil
 
Watusi wanasiri kubwa ya kujificha kabila lao na lugha yao. Wakifika nchi ngenj wanajifunza mila na lugha na desturi ila watahakikisha hawapotezi asili yao. Wanajuana wa mbeya, iringa, dodoma, mwanza, mara nk.Na wengi mwishoni wanaoana wzo kw wao. Hushangai kule rwanda na burundi wanazungumza kinyarwana kinacofanana kiha lakini wanawadharau wenzao. Lugha yao waliipeleka wapi?
 
watusi walisambaa sana tangu miaka ya 1950s wakati wa first Hutu revolution, ukienda maeneo ya Tabora, shinyanga, simiyu, mwanza, kagera, kigoma n.k, wapo wengi sana sana na ni watanzania kwa sababu wazazi wao walifika hapa kabla ya uhuru, na kwa katiba yetu mtu yeyote aliyekuwepo nchini kabla ya uhuru ni mtanzania kwa asili sio mhamiaji. kuuliza walifikaje mbeya, kwa nini usiulize walifikaje mwanza na kahama? familia zilichukuana, ukiona mjomba kakimbilia mtwara unaenda huko. hata AY huwa anajinasibu kuwa mama yake ni mtusi/mnyarwanda, sijajuaga kama kuwa mtusi ni heshima au hadhi.
 
Superiority complex
 
Umekutana na familia 10,hukupata hata mwanafamilia mmoja wa kumuuliza...unataka majibu hapa! Fine,waliingia mbeya wakitokea Gambia kupitia mpaka wa palestina huko Brazil
Hata akili yako inafanana kabisa😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…