WaTZ mbona mnasuasua, mara mseme mumefunga mara hamjafunga mpaka na Kenya?

Katika hili janga nimegundua kuwa kweli bendera hufuata upepo. WaAfrika wanapata sababu za ku-support mpaka ukifungwa au hata pia ukifunguliwa. Mwafrika aipinge serikali tukufu? Ajifikirie mwenyewe? Haiwezekani!

Serikali ikisema, nitatafuta jinsi ya kuipindisha habari hiyo vilivyo. Ila tukumbuke "tunapambana na beberu". SMH. Kwa style hizi kama mimi ndiye beberu, shughuli nilishaimaliza kabla hata ya Covid-19. Kazi ipo sana tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tuamini kipi, Kenya na majirani zenu wote EAC na SADC wameweka bayana kwamba wamefunga ili kupunguza maambukizi, madereva wenu lazima wapimwe kabla kuingia Kenya. Sasa nyie mkaibuka na kusema mumefunga pia, mara naona hapa mnasema ni fake news.

Geza Ulole, joto la jiwe. Niliwaambia kuwa nyie hamna ubavu huu wa kutukingia kifua.
 
Tuamini kipi, Kenya na majirani zenu wote EAC na SADC wameweka bayana kwamba wamefunga ili kupunguza maambukizi, madereva wenu lazima wapimwe kabla kuingia Kenya. Sasa nyie mkaibuka na kusema mumefunga pia, mara naona hapa mnasema ni fake news.
Its none of your business,we kaa lockdown mpaka december,mambo ya Tanzania yatakupa diabet
 
Tuamini kipi, Kenya na majirani zenu wote EAC na SADC wameweka bayana kwamba wamefunga ili kupunguza maambukizi, madereva wenu lazima wapimwe kabla kuingia Kenya. Sasa nyie mkaibuka na kusema mumefunga pia, mara naona hapa mnasema ni fake news.

Nyinyi mmefunga mpaka sisi tumezuia malori yenu yasiingie TZ.
 
Kuna wakati huwa una point na kuna wakati huwa unakurupuka kiasi unasababisha wale WaTz wanaokuambia uko "obsessed" na Tz kuonekana wana hoja! Unaweka bandiko, tena lililo na "Fake News"!!!
 
Tuamini kipi, Kenya na majirani zenu wote EAC na SADC wameweka bayana kwamba wamefunga ili kupunguza maambukizi, madereva wenu lazima wapimwe kabla kuingia Kenya. Sasa nyie mkaibuka na kusema mumefunga pia, mara naona hapa mnasema ni fake news.

Rudia yaliyotokea MNARA WA BABELI,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…