Acha kuropoka, lini SADC wamefanya mkutano bila Tanzania kuwepo? Kile kikao cha Ramaphosa nchi zaidi ya 5 (Madagascar,Zambia,Malawi,Congo,Commoros,Tanzania)wanachama wa SADC hawakushirikishwa kwasababu kilikuwa ni cha South Africa na nchi jirani. EAC sio mara ya kwanza kutokea hicho maana unafiki ni mwingi refer COW , sijui iliishiaga wapi? Mmefikia wapi na Coalition of yhe Willing?
Sasa hivi Tz tunapopolewa mawe licha ya ukweli kwamba madereva wa malori wa Kenya ndiyo wanaongoza kwa maambukizi Uganda lakini wao hawafanywi kitu. Tuendeleeni kuishi kiunafikinafiki tu hivyo hivyo bahati nzuri we know now what kind of people we are dealing with, hamtusumbui kabisa
Sent using
Jamii Forums mobile app