Uganda kule huwa mnakwenda madereva wachache sio kama mnavyopanga foleni madereva 300 wote mnang'ang'ania kuingia Kenya. Lazima mpimwe, hata mnune au mlielie wala nini haingii mtu, lazima upimwe kabla kuingia, tukicheka na nyie tutaisha, watu mumejichokea na kuachia muambukizane, yaani kuna siku madereva wenu 78 waligunduliwa kuwa na corona kwa mpigo mmoja, wote waliku wanang'ang'ania kuingia, yaani mungetuambike hadi tutamani kuhama nchi.
Nye ambukizaneni huko kwenu, wakufa ajifie huko na wa kupona atapona tu, umeona corona imegonga hadi ikulu kwa mwanaye rais, sema wao kidogo nafuu wana pesa, mtoto alitunzwa mpaka akapona, sasa kajamba wa Tandale ndio basi.