WaTZ mbona mnasuasua, mara mseme mumefunga mara hamjafunga mpaka na Kenya?

WaTZ mbona mnasuasua, mara mseme mumefunga mara hamjafunga mpaka na Kenya?

- Uking'ang'ania lazima uingie huku, basi lazima tukupime, tukikupata na corona tunakuondosha nduki urudi uendelee kuambukiza huko kwenu ambapo umaskini umewafanya mumeshindwa kupambana na kirusi.
- Vinginevyo tunapokezana magari, ila baada ya kuyapuliza
- Dereva wetu asiruhusiwe kuingia Tz, maana huwa wanageuza na corona, waishie hapo mpakani basi.

Sina kingine cha kuongeza, ukizingatia hayo machache tutaendana vizuri sana na wala hutaskia tukiwasema kitu, mjifie au mpone huko mtajua wenyewe.
 
MK254,una kelele sana humu,lakini nakuhakikishia,kama Magufuli atafungua vyuo na kuruhusu michezo ianze kama alivyotangaza,utaona wakenya watakavyolinzisha kwa Uhuru,tusubiri!

Labda Mkenya asiyekua na akili ndiye atatamani tushike simba kidevu kama mnavyofanya huko, kile Wakenya wengi wanalalamika kuhusu ni hili la kuwekeana lockdown had kwenye level ya mtaani kama vile Eastleigh, lakini wengi wanaunga mikono jitihada zingine zote.
Upokeaji wa hizi jitihada pia unategemea na level ya elimu ya wananchi husika na hali yao ya kiuchumi, kwa mfano Tanzania kwa kweli lockdown inaweza ikawatesa sana maana mpo tayari LDC kwenye level moja na Burundi, sasa mkifungiana sijui mtashuka hadi wapi.
 
Watu sasa hivi wanachekelea lkn effects za COVID19 bado sana,zitakapoanza kuonekana hizi mbwembwe zote zitaisha..Njaa kubwa inakuja.
 
Labda Mkenya asiyekua na akili ndiye atatamani tushike simba kidevu kama mnavyofanya huko, kile Wakenya wengi wanalalamika kuhusu ni hili la kuwekeana lockdown had kwenye level ya mtaani kama vile Eastleigh, lakini wengi wanaunga mikono jitihada zingine zote.
Upokeaji wa hizi jitihada pia unategemea na level ya elimu ya wananchi husika na hali yao ya kiuchumi, kwa mfano Tanzania kwa kweli lockdown inaweza ikawatesa sana maana mpo tayari LDC kwenye level moja na Burundi, sasa mkifungiana sijui mtashuka hadi wapi.
Wakenya soon mtaanza kujamba.Covid 19 haiishi leo wala kesho
 
Uganda kule huwa mnakwenda madereva wachache sio kama mnavyopanga foleni madereva 300 wote mnang'ang'ania kuingia Kenya. Lazima mpimwe, hata mnune au mlielie wala nini haingii mtu, lazima upimwe kabla kuingia, tukicheka na nyie tutaisha, watu mumejichokea na kuachia muambukizane, yaani kuna siku madereva wenu 78 waligunduliwa kuwa na corona kwa mpigo mmoja, wote waliku wanang'ang'ania kuingia, yaani mungetuambike hadi tutamani kuhama nchi.
Nye ambukizaneni huko kwenu, wakufa ajifie huko na wa kupona atapona tu, umeona corona imegonga hadi ikulu kwa mwanaye rais, sema wao kidogo nafuu wana pesa, mtoto alitunzwa mpaka akapona, sasa kajamba wa Tandale ndio basi.
Kenya mtakufa kwa hofu.Mtajilockdown mwaka mzima.Corona haiishi leo wala kesho
 
Back
Top Bottom