WaTZ mbona mnasuasua, mara mseme mumefunga mara hamjafunga mpaka na Kenya?

Serikali ya Tanzania naiomba ijibu mapigo hatuwezi kufanywa mabwege kiasi hiki.Enough is enough tuwatendee kama wao wanavyotutendea haiwezekani raia wetu wananyanyasika.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Rudia yaliyotokea MNARA WA BABELI,

Hehehe!!

Lakini mbona mumegoma kumskliza Mbowe kiongozi wenu, yaani hotuba zake zina busara sana, state-man like, japo wanasiasa ni wale wale, labda naye akipewa urais ataishia kuwa mtu wa mikwara na vijembe bila kujenga hoja zenye mantiki..

 
Hii serikali inajichanganya isjue hata inasimamia wapi. Sasa nn cha kuandika fake news ilihali umerekodiwa ukiongea na madreva
Fuatilia habari mkuu.
Wizara ya afya haijatoa tamko lolote ila aliyetoa tamko ni mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro, coz yeye ndio anahusika kwa mpaka iliyo kwake. Ndio maana hakuna kitu kama hicho mpaka wa Namanga. Kufunga mpaka na nchi nyingine kunatolewa taarifa aidha na rais au waziri wa mambo ya nje.
Na katika hili huyo mama hajafunga mpaka ila ameweka utaratibu wa mizigo kupita.
 
Serikali ya Tanzania naiomba ijibu mapigo hatuwezi kufanywa mabwege kiasi hiki.Enough is enough tuwatendee kama wao wanavyotutendea haiwezekani raia wetu wananyanyasika.

Sent using Jamii Forums mobile app

Ukiona unagombana na majirani zako wote, ujue wewe ndiye mwenye kasoro, haiwezekani marais wa SADC na EAC wote wafanye vikao bila uwakilishi wenu wa aina yoyote, mfungiwe mipaka na majirani zenu wote hadi hata Zambia, na bado mnajipiga vifua mkisema mtalipiza visasi, mumekalia majungu na kufikiri kila kitu duniani kipo kw ajili ya kuwahujumu nyie, hata hii corona mnaona ilibuniwa ikwamishe na kuhujumu Tanzania.....mna kasoro kubwa sana nyie watu.
 
Huyu anatumia mbinu ya kuadaa wananchi ili apate wafuasi Ila Kama akiliyake ndogo Kama wewe ndio unaona hutuba yake Ina busara hivi jiulize Nchi gani duniani iliyoweka lockdown ikafanikiwa atuambie kwanza kwa mifano Kisha ndio ang'ang'ane na lockdown,Kwan kupambana na corona lazima uweke lockdown? Nanani kasema lazima itumike njia hiyo ? watanzania mda wote wapo mitandaoni waelewa wanajua dunia inavyokwenda ndio maana Kwenye hotuba yake we soma comment tu utaelewa watu wanauelewa kiasi gani hawapelekwii kwa maneno ya hisia kali
Hehehe!!

Lakini mbona mumegoma kumskliza Mbowe kiongozi wenu, yaani hotuba zake zina busara sana, state-man like, japo wanasiasa ni wale wale, labda naye akipewa urais ataishia kuwa mtu wa mikwara na vijembe bila kujenga hoja zenye mantiki..


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha kuropoka, lini SADC wamefanya mkutano bila Tanzania kuwepo? Kile kikao cha Ramaphosa nchi zaidi ya 5 (Madagascar,Zambia,Malawi,Congo,Commoros,Tanzania)wanachama wa SADC hawakushirikishwa kwasababu kilikuwa ni cha South Africa na nchi jirani. EAC sio mara ya kwanza kutokea hicho maana unafiki ni mwingi refer COW , sijui iliishiaga wapi? Mmefikia wapi na Coalition of yhe Willing?

Sasa hivi Tz tunapopolewa mawe licha ya ukweli kwamba madereva wa malori wa Kenya ndiyo wanaongoza kwa maambukizi Uganda lakini wao hawafanywi kitu. Tuendeleeni kuishi kiunafikinafiki tu hivyo hivyo bahati nzuri we know now what kind of people we are dealing with, hamtusumbui kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Aha! Wapii.. kwanza rais Ramaphosa mwenyewe alitaja mlivyosusia hicho kikao cha SADC, japo akaaiweka kidiplomasia zaidi.

Uganda wanapima kila dereva anayekwenda kwao na wakipata Wakenya na corona wanaisema na sisi hatulalamiki au kulialia kama mnavyofanya tukiwapima nyie, tatizo umaskini umewafanya mumejichokea na kuachia mfe tu lakini hamtaki kuchukua tahadhari.
Kwa sasa muhimu sana msiruhusiwe kwenye nchi yoyote bila kupima, ukitajwa wewe Mtanzania, ghafla kila mtu anakua makini na kuhakikisha anakupima mara mbili mbili.
 
Eti masikini, nyie matajiri mbona mnajipendekeza kwa wazungu kila kukicha kupata mikopo na misaada, hiyo lockdown ni matakwa ya mabwana zenu wanaowapa mikopo, mnakurupuka tu huku hamjui mtawalisha nini raia wakiwa kwenye lockdown.

Kwa taarifa yako Raia wa Uganda kwasasa wanawaogopa madereva wa Kenya kuliko Tz. Nchi zote unazosema wametufungia mipaka sasa hivi wenyewe wamerudi mezani kuomba suluhu. Bila Tz hakuna EAC hilo hata wewe nyang'au unalijua. Kama mnabisha endeleeni tuwaone. Burundi,Uganda,Rwanda hakuna anayemuamini mwenzake,Kenya tribalism na corruption vinatikisa nchi,South Sudan ndiyo usiseme huo muda wa kukaa vikao vya umoja wenu mtaanzia wapi? Endeleeni kama mna ubavu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hadi Uganda wanapima madereva wetu na wengine wanakutwa positive mbona hatuna shida nao? Ukiona hivyo nyie ndo tatizo.. Na tutadili na ninyi...,sababu hamsumbui.
 
Hadi Uganda wanapima madereva wetu na wengine wanakutwa positive mbona hatuna shida nao? Ukiona hivyo nyie ndo tatizo.. Na tutadili na ninyi...,sababu hamsumbui.

Uganda kule huwa mnakwenda madereva wachache sio kama mnavyopanga foleni madereva 300 wote mnang'ang'ania kuingia Kenya. Lazima mpimwe, hata mnune au mlielie wala nini haingii mtu, lazima upimwe kabla kuingia, tukicheka na nyie tutaisha, watu mumejichokea na kuachia muambukizane, yaani kuna siku madereva wenu 78 waligunduliwa kuwa na corona kwa mpigo mmoja, wote waliku wanang'ang'ania kuingia, yaani mungetuambike hadi tutamani kuhama nchi.
Nye ambukizaneni huko kwenu, wakufa ajifie huko na wa kupona atapona tu, umeona corona imegonga hadi ikulu kwa mwanaye rais, sema wao kidogo nafuu wana pesa, mtoto alitunzwa mpaka akapona, sasa kajamba wa Tandale ndio basi.
 

Hata sijui nini umeandika hapa, nimejaribu kusoma naona mtu aliyekua anaatype huku mishipa imemtoka usoni, kimsingi kama nilivyokuambia, mumefungiwa na majirani wote, ukitajwa Mtz yaani ghafla kila mtu anakua makini, lazima mpimwe mara mbili mbili...iwe kwa SADC au EAC.
Ona mnavyotia huruma, mumekatazwa hakuna kuingia Zambia bado mnang'ang'ania mpakani bila hata kuvaa barakoa, mnataka muachiwe mkaambukize watu...

 
si wizara ya afya wametoa maamuzi, mkuu wa Mkoa ndo kajibu Uhuru! Waziri wetu hana muda mchafu kujibu mvuta bangi!

Kichapo cha kimya kimya,jana magu alitaka kumwaga ugali akashtuka halafu akazuga kimtindo 😀
 
Sisi madereva wetu kuingia huko mpaka wapimwe sio?!! Sasa na sisi tunasema hivi wenu hawapenyi huku wapimwe wasipimwe... Hao wetu ambao virusi hawajaanza kujionyesha mwilini wakatemee mbegu huko kwenu...Wa kwenu huku hatuwahitaji kabisa,awe + au -.
 
Tuamini kipi, Kenya na majirani zenu wote EAC na SADC wameweka bayana kwamba wamefunga ili kupunguza maambukizi, madereva wenu lazima wapimwe kabla kuingia Kenya. Sasa nyie mkaibuka na kusema mumefunga pia, mara naona hapa mnasema ni fake news.

Wa kufunga mpaka ni wizara ya mambo ya nje au rais Magufuli, kama ujuavyo rais wetu sio mnafiki..huyo ni panga akikata hashoni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jirani gani aliefunga mipaka zaidi yenu nyie,ukiangalia takwimu za maambukizi za uganda kwa wageni nyie ndio mnaongoza kupeleka corona uganda,umewasikia uganda wakiwasema ovyo kama nyie mnavyoisema Tanzania,hawa vihere here waandishi tuliowakamata watakua mfano kwa wakenya wengine kwa kile kitakachowapata,na hali ikitulia zaidi utaona kitakachoikuta kq safari za TZ,hatuhitaji jirani mnafiki
 
Sisi madereva wetu kuingia huko mpaka wapimwe sio?!! Sasa na sisi tunasema hivi wenu hawapenyi huku wapimwe wasipimwe... Hao wetu ambao virusi hawajaanza kujionyesha mwilini wakatemee mbegu huko kwenu...Wa kwenu huku hatuwahitaji kabisa,awe + au -.

Hayo ni maamuzi ya busara mumefanya maana madereva wetu walikua wakiingia Tanzania na kugeuza na corona, safi sana...hapo mpakani kila mtu abaki kwao, gari linapokezwa na mizigo linapulizwa, funguo zinaosywa na kupimwa corona, kila kitu kipimwe, yaani tena mnakaa umbali wa mita kadhaa na wa huku umbali kama huo huo, hela tutiliane kwenye akaunti za benki hamna cha kupokezana.
Nimefurahi sana kuona akili zimeanza kuwaingia, tukiendelea hivi hamtasikia tukiwasema kitu, maana hamtuambukizi, mnabaki na kirusi huko huko wakujifie ajifie huko mtajuana wenyewe.
 

Zambia reopens border with Tanzania to cargo after COVID-19 closure

Alikuwa anatikisa kibiriti tu, kiko wapi sasa? Nasisitiza bila Tanzania hakuna jirani atakayekuwa salama nyang'au wewe
 

Uganda hawawezi kutusema hovyoo maana wanaona jitihada zetu dhdi ya corona, hatutajichokea na kukata tamaa kama nyie, tumeichukulia serious, tunapima na kutanganza matokeo, tumefanya lockdowns na mengine, na hatufichi data, madereva wetu wakigunduliwa kuwa nacho hatulalamiki na kulia lia, tunakubali kweli lipo na hata wakirejeshwa huku tunawaweka karantini.

Lakini nyie mumejichokea kwa umaskini mnaona heri mfe lakini msichukue tahadhari kisa uchumi utazidi kuyumba.
 
Haha Absurd kweli nyie ndo mmetusambazia #covid19 huko Kaskazini na Mama akaona asiwachekee...Wewe unasema kuhusu kupilizia dawa hujaona hao mabosi wenu mnapojikombakomba walivyosema kuhusu hilo...halafu bado mnalitekeleza...#WajingaNinyi🎶🎶🎵
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…