Watz mkimzingua Zuchu na hizo kauli zenu za "Nipe mkono kama unabisha" tutaonana wabaya, huyu mtoto anapendwa sana +254

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Hili toto la Kizanzibari limefunika mbaya mno Kenya, kwa umaarufu huu msije mkamfanyia maushirikina kama Harmonize na kauli zenu za "Hauniwezi Kiserikali, Kipesa, Kishirikina na kama unabisha nipe mkono"

Npe mkono tushndane
 
Hehe kuna watu ni wachawi mkuu! Wana uwezo wa kumroga na hata wakenya mkaanza kumuona hamna kitu kwani mnafikiri muziki wa bongo una maana basi tunaenda nao tu hivyo hivyo!

Wenzetu wanigeria ni wachawi lakini kule msanii anaroga kivyake ili awe juu na siyo kurogana eti ili fulani ashuke! Ila huku kwetu utasikia mmoja anaroga wenzie washuke ili aendelee kubaki juu!
 
Duh! Yaani tu basi....
 
Zuchu🚮🚮 kuna huyo Maua Sama ni 🔥🔥

Taarifa kwa +254🚨
Boss ake Zuchu kaiba huku kayimbo ka Msami inaitwa unachezaje kaishiwa content ana haha t🚮🚮
 
Ashasepa nawo, kesha-trend huko Yutubu...comments wanamsfia ubunifu wake kwenye kutunga.
Aliyeibiwa awe mpole wayaongee na kumaliza kimya kimya, atie mkwanja kwapani na kujiondokea, ila kama anabisha ampe mkono basi.
 
😂😂 kinachotrend now n connection ya masai kaopoa mama kubwa huko hatuko bize na hizo pumba zake
Screenshot_20211217-045734_Twitter.jpg
 
Hili toto la Kizanzibari limefunika mbaya mno Kenya, kwa umaarufu huu msije mkamfanyia maushirikina kama Harmonize na kauli zenu za "Hauniwezi Kiserikali, Kipesa, Kishirikina na kama unabisha nipe mkono"

hivi unajielewa kweli.
hiyo kauli ni ya bosi wake zuchu !
 
hivi unajielewa kweli.
hiyo kauli ni ya bosi wake zuchu !

Kwani si ndio huo ubosi ulimfanya kutoa hiyo kauli kwa Hamo, kipindi Hamo akihangaika kujitoa humo.

Zuchu leo hii akithubutu achomoke naye atakutana na hayo pia. Labda aepuke kushikana mkono.
 
WCB ni brand kubwa sana hakuna rebel yeyote inayoweza kuipiku kirahsi hapa East and central Africa.

Ata huyo mmakonde anajidanganya tu ila WCB itabaki kuwa juu daima,Boss Ruge mwenyewe aligonga mwamba kwa simba.

Media karibia zote bongo zikagoma kupiga muziki wa WCB kwa miaka 4 lakini bado tu mondy akazidi kusonga.

Leo amemtengeneza ZUCHU ambaye mara ya kwanza Anti-WCB walimuona hawezi kufka mbali lakini sasa ni dhahabu inayo ng'aa

Kongole sana Diamond platnumz utazidi kubaki juu siku zote haters wameze wenbe
 
Mimi ni mTZ lakini nyimbo za kiswahili za Kenya nazisikiliza sana...
Nakubali sana uandishi wa nyimbo za Kenya.
Sol generation wananipa burudani sana.
 
WCB ni brand kubwa sana hakuna rebel yeyote inayoweza kuipiku kirahsi hapa East and central Africa.

Ata huyo mmakonde anajidanganya tu ila WCB itabaki kuwa juu daima,Boss Ruge mwenyewe aligonga mwamba kwa simba.

Media karibia zote bongo zikagoma kupiga muziki wa WCB kwa miaka 4 lakini bado tu mondy akazidi kusonga.

Leo amemtengeneza ZUCHU ambaye mara ya kwanza Anti-WCB walimuona hawezi kufka mbali lakini sasa ni dhahabu inayo ng'aa

Kongole sana Diamond platnumz utazidi kubaki juu siku zote haters wameze wenbe
Mkuu rebel ndio nini?
Kwanini usitafute neno sahihi google kwanza kabla ya kutuaibisha ndugu zako waTZ?
Kiiengerwza si lugha yetu ya kwanza.
 
Back
Top Bottom