binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 11,201
- 28,642
Kwani Magufuli si alishaongea na wafanyabiashara kuhusu ishu za TRA kuna mabadiliko?
Si mmeruhusiwa kuuza barabarani, fremu za niniGharama za fremu za biashara haziko rafiki kwa mfanyabishara na TRA pia Kodi sio rafiki kabisa Ni pepo ibilisi.
TRA na Wenye fremu na wapangisha majengo ya maduka ndio chanzo kikuu Cha kufungwa biashara nyingi na kuzuia biashara mpya na viwanda vipya kuanza.
Hawa wawili ndio mashetani wakubwa wa kuua biashara na kuzuia biashara mpya kuanza.
Serikali iangalie hayo maeneo mawili
Halafu niko na furaha kibao.Una Roho ya kimasikini
Asante👏 karibu juice ndugu yangu.
Mkuuu jaribu kumiliki biashara hata ndoooogo utamwelewa mleta mada. Wamiliki wa Fremu za Biashara ni majanga hao TRA ni msiba hakuna comment
Na wenye masikio na wasikie. Omba sana kuwa na masikio.Umaskini na furaha Ni vitu viwili tofauti visivyokaa nyumba moja
Sidhani, nikutokujua ABC za biashara yako. Frem zinatofautiana Bei kutokana na eneo fremu ipo na ukubwa was fremu. Pia gharama za ujenzi pia zipo juu na frem Ni biashara pia inaitwa Real estate..unaweza Jenga frem sehemu ya ovyo na usipate wapangaji Apo utasingizia Nini..?Gharama za fremu za biashara haziko rafiki kwa mfanyabishara na TRA pia Kodi sio rafiki kabisa Ni pepo ibilisi.
TRA na Wenye fremu na wapangisha majengo ya maduka ndio chanzo kikuu Cha kufungwa biashara nyingi na kuzuia biashara mpya na viwanda vipya kuanza.
Hawa wawili ndio mashetani wakubwa wa kuua biashara na kuzuia biashara mpya kuanza.
Serikali iangalie hayo maeneo mawili
Gharama za fremu za biashara haziko rafiki kwa mfanyabishara na TRA pia Kodi sio rafiki kabisa Ni pepo ibilisi.
TRA na Wenye fremu na wapangisha majengo ya maduka ndio chanzo kikuu Cha kufungwa biashara nyingi na kuzuia biashara mpya na viwanda vipya kuanza.
Hawa wawili ndio mashetani wakubwa wa kuua biashara na kuzuia biashara mpya kuanza.
Serikali iangalie hayo maeneo mawili
Akili hamna huyo hajielewi.Mishahara ya wafanyakazi inategemea Kodi za wafanyabiashara ndio maana hampandishwi mishahara wala vyeo.Sekta binafsi isipofanya vizuri Kuna siku mishahara yenu itashushwa na mtapunguzwa kazini wewe kenua meno tu
Siio tofauti .Roho ya umaskini ndio huleta umaskini.Umaskini hauji tu hewani Kuna Roho isababishayo inaitwa Roho ya umaskini.Baba wa umaskini Ni Roho ya umaskiniNa wenye masikio na wasikie. Omba sana kuwa na masikio.
Umasikini na roho ya kimasikini ni vitu tofauti.
Ni maajabu wanashindana kujenga fremu lakini hawashindani kuvutia wateja wa kupangisha hizo fremu.Ndio maana mifremu yao inawadodea.Wanadhani kushindana kujenga mifremu ndio wamemaliza!!! Kujidai kutembelea kifua mbele ohhh Mimi Nina mifremu i!!! Kumbe Haina wapangaji!!!!!!!! Mijigambo hewaHalafu watanzania wengi ubunifu zero.kila mtu anajenga fremu bila kujuaa wapangaji watatoka wapi.yaani huku mtaani ni utitiri wa mafremu hivi hamuwezi kubuni biashara nyingine.nyie watu
Akili za lumumba kana machangudoa wa corner bar,unataka mtu apunguze bei ya fremu wewe ndio ulimpa pesa ya kujenga hizo fremu,punguani wahedGharama za fremu za biashara haziko rafiki kwa mfanyabishara na TRA pia Kodi sio rafiki kabisa Ni pepo ibilisi.
TRA na Wenye fremu na wapangisha majengo ya maduka ndio chanzo kikuu Cha kufungwa biashara nyingi na kuzuia biashara mpya na viwanda vipya kuanza.
Hawa wawili ndio mashetani wakubwa wa kuua biashara na kuzuia biashara mpya kuanza.
Serikali iangalie hayo maeneo mawili
Ninacheka watu wanashindana kujenga fremu zisizo na wateja!!!!! Hiyo si ni biashara kichaaa!!! Wanajenga mifremu kibao halafu hawashindani kutafuta wateja wa kuzipanga kwa kuweka Bei rafiki kwa mfanyabiadhara si wehu huoAkili za lumumba kana machangudoa wa corner bar,unataka mtu apunguze bei ya fremu wewe ndio ulimpa pesa ya kujenga hizo fremu,punguani wahed