wacheni kupotosha muuaji ni MAGUFULI.
mimi nina family Business imekuwepo kwa 20+ years, na imekufa 2016.
na muuaji alikuw ani magufuli, tulibambikiwa kodi za ajabu na TRA wakafunga duka likiwa na bizaa ambazo ni perishable nikapambana kwa mieze sita duka lifunguliwe nipiga simu mpaka TRA MKOA wa DAR meneja na aligoma, cha ajabu mwenye Nyumba alipokosa kodi na kwenda kulala mika wakaja kufungua kuwa wamesamehe na tulipe taratibu.
Mudaa huo tushafilisika.
HASARA SASA:-
1. Familia kipato kimeyumba watoto wanne walikuw awnasomeshwa na hilo duka.
2. wafananyakazi wawili hawana hajira.
3. Mwenye Nyumba kodi zaidi ya 8Mil hakupata.
4. Supplies mapak elo wanadai zaidi ya 5Mil Na hailipiki.
5. Serekali imekula kwao hakuna kodi tena kutoka duka/biashara ile.
Hawa TRA ni wanatumwa tu.