Wauaji wakuu wa biashara Tanzania Ni TRA na wapangisha fremu au majengo ya biashara. Serikali iwashughulikie

Wauaji wakuu wa biashara Tanzania Ni TRA na wapangisha fremu au majengo ya biashara. Serikali iwashughulikie

Gharama za fremu za biashara haziko rafiki kwa mfanyabishara na TRA pia Kodi sio rafiki kabisa Ni pepo ibilisi.

TRA na Wenye fremu na wapangisha majengo ya maduka ndio chanzo kikuu Cha kufungwa biashara nyingi na kuzuia biashara mpya na viwanda vipya kuanza.

Hawa wawili ndio mashetani wakubwa wa kuua biashara na kuzuia biashara mpya kuanza.

Serikali iangalie hayo maeneo mawili
Si mmeruhusiwa kuuza barabarani, fremu za nini
 
Sijui nikuite mbwa koko? CHADEMA wametoka wapi kwenye post hii au ni mke wa CHAKUBANGA
Mkuuu jaribu kumiliki biashara hata ndoooogo utamwelewa mleta mada. Wamiliki wa Fremu za Biashara ni majanga hao TRA ni msiba hakuna comment
 
Gharama za fremu za biashara haziko rafiki kwa mfanyabishara na TRA pia Kodi sio rafiki kabisa Ni pepo ibilisi.

TRA na Wenye fremu na wapangisha majengo ya maduka ndio chanzo kikuu Cha kufungwa biashara nyingi na kuzuia biashara mpya na viwanda vipya kuanza.

Hawa wawili ndio mashetani wakubwa wa kuua biashara na kuzuia biashara mpya kuanza.

Serikali iangalie hayo maeneo mawili
Sidhani, nikutokujua ABC za biashara yako. Frem zinatofautiana Bei kutokana na eneo fremu ipo na ukubwa was fremu. Pia gharama za ujenzi pia zipo juu na frem Ni biashara pia inaitwa Real estate..unaweza Jenga frem sehemu ya ovyo na usipate wapangaji Apo utasingizia Nini..?
 
Gharama za fremu za biashara haziko rafiki kwa mfanyabishara na TRA pia Kodi sio rafiki kabisa Ni pepo ibilisi.

TRA na Wenye fremu na wapangisha majengo ya maduka ndio chanzo kikuu Cha kufungwa biashara nyingi na kuzuia biashara mpya na viwanda vipya kuanza.

Hawa wawili ndio mashetani wakubwa wa kuua biashara na kuzuia biashara mpya kuanza.

Serikali iangalie hayo maeneo mawili

Hao TRA wapo hapo kwasababu Serekali wanataka wawepo
 
Mishahara ya wafanyakazi inategemea Kodi za wafanyabiashara ndio maana hampandishwi mishahara wala vyeo.Sekta binafsi isipofanya vizuri Kuna siku mishahara yenu itashushwa na mtapunguzwa kazini wewe kenua meno tu
Akili hamna huyo hajielewi.
 
Halafu watanzania wengi ubunifu zero.kila mtu anajenga fremu bila kujuaa wapangaji watatoka wapi.yaani huku mtaani ni utitiri wa mafremu hivi hamuwezi kubuni biashara nyingine.nyie watu
 
Na wenye masikio na wasikie. Omba sana kuwa na masikio.
Umasikini na roho ya kimasikini ni vitu tofauti.
Siio tofauti .Roho ya umaskini ndio huleta umaskini.Umaskini hauji tu hewani Kuna Roho isababishayo inaitwa Roho ya umaskini.Baba wa umaskini Ni Roho ya umaskini
 
Halafu watanzania wengi ubunifu zero.kila mtu anajenga fremu bila kujuaa wapangaji watatoka wapi.yaani huku mtaani ni utitiri wa mafremu hivi hamuwezi kubuni biashara nyingine.nyie watu
Ni maajabu wanashindana kujenga fremu lakini hawashindani kuvutia wateja wa kupangisha hizo fremu.Ndio maana mifremu yao inawadodea.Wanadhani kushindana kujenga mifremu ndio wamemaliza!!! Kujidai kutembelea kifua mbele ohhh Mimi Nina mifremu i!!! Kumbe Haina wapangaji!!!!!!!! Mijigambo hewa

Hakuna mijitu mijinga Kama inayomiliki fremu za maduka
 
Umiliki wa frem za biashara kila mfanya biashara na lengo lake mwingine hupenda kulipia kodi ya miaka 5 au zaid ili kumbana mwenye frem ilikulinda biashara yake pasiwepo na kigeugeu cha kubadili kodi kila mwezi,na mwenye nguvu ndogo yeye hupenda kulipa kila siku au kwa mwezi sema serikali kuingilia kodi za kupangisha ndo tatizo ni bora ingeingilia kiwango cha bei kuliko muda wa upangishaji.
 
Gharama za fremu za biashara haziko rafiki kwa mfanyabishara na TRA pia Kodi sio rafiki kabisa Ni pepo ibilisi.

TRA na Wenye fremu na wapangisha majengo ya maduka ndio chanzo kikuu Cha kufungwa biashara nyingi na kuzuia biashara mpya na viwanda vipya kuanza.

Hawa wawili ndio mashetani wakubwa wa kuua biashara na kuzuia biashara mpya kuanza.

Serikali iangalie hayo maeneo mawili
Akili za lumumba kana machangudoa wa corner bar,unataka mtu apunguze bei ya fremu wewe ndio ulimpa pesa ya kujenga hizo fremu,punguani wahed
 
Hao TRA wapo hapo kwasababu Serekali wanataka wawepo
Na fremu za biashara zipo kwa ajili ya Nani Kama hazipangishiki? Ni kwa ajili ya ya mwenye fremu kupiga nazo picha za selfie au?
 
Akili za lumumba kana machangudoa wa corner bar,unataka mtu apunguze bei ya fremu wewe ndio ulimpa pesa ya kujenga hizo fremu,punguani wahed
Ninacheka watu wanashindana kujenga fremu zisizo na wateja!!!!! Hiyo si ni biashara kichaaa!!! Wanajenga mifremu kibao halafu hawashindani kutafuta wateja wa kuzipanga kwa kuweka Bei rafiki kwa mfanyabiadhara si wehu huo
 
wacheni kupotosha muuaji ni MAGUFULI.
mimi nina family Business imekuwepo kwa 20+ years, na imekufa 2016.
na muuaji alikuw ani magufuli, tulibambikiwa kodi za ajabu na TRA wakafunga duka likiwa na bizaa ambazo ni perishable nikapambana kwa mieze sita duka lifunguliwe nipiga simu mpaka TRA MKOA wa DAR meneja na aligoma, cha ajabu mwenye Nyumba alipokosa kodi na kwenda kulala mika wakaja kufungua kuwa wamesamehe na tulipe taratibu.
Mudaa huo tushafilisika.

HASARA SASA:-
1. Familia kipato kimeyumba watoto wanne walikuw awnasomeshwa na hilo duka.
2. wafananyakazi wawili hawana hajira.
3. Mwenye Nyumba kodi zaidi ya 8Mil hakupata.
4. Supplies mapak elo wanadai zaidi ya 5Mil Na hailipiki.
5. Serekali imekula kwao hakuna kodi tena kutoka duka/biashara ile.

Hawa TRA ni wanatumwa tu.
 
Back
Top Bottom