EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,711
- 35,644
Huyu jamaa ndio mwamba wa GOLDEN DEER [emoji1662][emoji1662][emoji1662] T 712 DPK anayezisumbua SCANIA za SAULI [emoji1631][emoji1631] za DAR - MBEYA - TUNDUMA
Ametrend sana wiki hii akiwa na memes mbali mbali
Ametrend sana wiki hii akiwa na memes mbali mbali
Anaitwa Waubani linyama AKA (wali nyani) ni dereva wa mabasi ya kampuni ya NEW FORCE & GOLDEN DEEER route ya Dar mbeya tunduma na kwa sasa anaendesha bus no. T712 DPK pia alishaendesha mabasi ya saibaba kabla ya kuendesha new force & golden deer.
Ukiachana na sifa yake ya kutunza muda kuwafikisha abiria mapema huko kusini pia ni mmoja wa madereva vipaumbele wa kampuni hiyo jamaa yuko vizuri sana ni mtu asie na makuu na ni mtu poa sana nje na ndani ya kazi yake.
Shusha meme nyingine kuhusu mwamba.