Waubani Linyama, dereva wa basi ambaye picha yake ina-trend mtandaoni kwa sasa

EINSTEIN112

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2018
Posts
21,711
Reaction score
35,644
Huyu jamaa ndio mwamba wa GOLDEN DEER [emoji1662][emoji1662][emoji1662] T 712 DPK anayezisumbua SCANIA za SAULI [emoji1631][emoji1631] za DAR - MBEYA - TUNDUMA

Ametrend sana wiki hii akiwa na memes mbali mbali

 
Sauli scania Ina piston 5 na valve 20 engine scania .Deer engine ni cummin piston 6 valve 24.Deer nyepesi scania nzito.
Mjomba unajua hio engine ya cummins watu wanaichukulia poa sana ila huyo ni mmarekani halisi hizo engine zipo kwenye magenerator makubwa i.e FGwilson, hata engine za meli zingine ni Cummins Service Kit zake ime Major Service Kit zinafika USD 15,000
 
Ila jamani kusema kweli kabisa Sauli basi zake zote zinakimbia sana,Uyo jamaa atakuwa kabahatisha tu siku iyo
Kuna siku nilianza kushuka Kitonga mida ya saa 7 mchana na kama dk 5 hivi, ghafla tukaiona Sauli hii hapa inapanda, halafu ilitaka kuovertake Lori ikaona bus letu ikarudi kwenye line, hapo ndio ilikuwa inamalizia kona ya mwisho kupanda.

Niliamini kweli zinachakaza lami sana hizo Sauli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…