Waubani Linyama, dereva wa basi ambaye picha yake ina-trend mtandaoni kwa sasa

Guy's mambo mengine sio ya kuyachukulia serious hii ni mada ya kutufanya tucheke kidogo,welldone mtoa mada ila kiuhalisi Dar to Mbeya ni +-800km ,huu ni mwendo wa saa 9tu kwa mabasi,watanzania tunashangaza sana!,Livingstone to Kapiri Mposhi(Zambia)ni kama umbali huu wa Dar to Mbeya,Power Tool anakupigia 8hrs na hakuna ajali wala chochote,tatizo letu barabara zetu bado sana!Cape Town to Port Elizabeth ni umbali huu ,mabasi yanatambaa ile N2 kwa saa 7tu
 
Kabisa mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…