Waume wameisha au veepe?

Waume wameisha au veepe?

Wajameni hv kweeeeeeeli kabisa waume hakuna au ndo wenzetu( wanaume kama mabinti) mnatuzibia rizki naona waoaji kibaaaaooo kila kukichaaa ila waume wa kudumu hakuna khaaaaa maana sio kwa mkosi huu KIRUUUUUUU

[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Ushajiita wa kuchovya, what do you expect?
By the way nakufaham wewe
 
Wajameni hv kweeeeeeeli kabisa waume hakuna au ndo wenzetu( wanaume kama mabinti) mnatuzibia rizki naona waoaji kibaaaaooo kila kukichaaa ila waume wa kudumu hakuna khaaaaa maana sio kwa mkosi huu KIRUUUUUUU

[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
We mwenyewe unajiita Mzigua wa kuchovya...

Wacha waendelee kuchovya chovya
 
Wajameni hv kweeeeeeeli kabisa waume hakuna au ndo wenzetu( wanaume kama mabinti) mnatuzibia rizki naona waoaji kibaaaaooo kila kukichaaa ila waume wa kudumu hakuna khaaaaa maana sio kwa mkosi huu KIRUUUUUUU

[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Una kazi? Au shughuli yoyote ya kukuingizia kipato? Kama huna basi shida inaanzia hapo shosti, wenyewe wanasema hawataki magoli keeper coz wanamizinga sana, si unajua wanaume wa sikuiz kwa kukwepa majukumu? Basi kama huna shughuli yoyote basi tafuta dear, maana itakua wanakuogopa, mtu anawaza kukumiliki wewe na mahitaji yako yote anaamua kukimbia.

Kama unayo shughuli basi tulia ukimwomba Mungu akuletee alie wa kwako, usibadilibadili ilimradi upate wa kukuoa coz hiyo ndo itakuharibia zaid.

Kingine jichunguze personality yako ujue kama una kasoro yoyote kubwa ambayo haivumiliki, unaweza wauliza watu wako wa karibu coz inawezekana wewe mwenyewe huijui thats why unakimbiwa. Maana muoaji aliye serious lazima aangalie na personality ya mwanamke husika. Pia hapa kumbuka kuanzisha mahusiano na mtu unaefanana nae, namaanisha; kimtazamo, hobbies, mavazi, starehe, religion, etc, coz mkiwa tofaut sana kila mtu atamuona mwenzie mzigo.

All in all, ndoa inakujaga tu automatically Mungu anapoona wakati ni sahihi, usilazimishe ndoa hata siku moja, relax and let God take control, your day shall come.
 
Back
Top Bottom