Mzigua wa kuchovya
Member
- May 4, 2017
- 57
- 63
.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ushajiita wa kuchovya, what do you expect?Wajameni hv kweeeeeeeli kabisa waume hakuna au ndo wenzetu( wanaume kama mabinti) mnatuzibia rizki naona waoaji kibaaaaooo kila kukichaaa ila waume wa kudumu hakuna khaaaaa maana sio kwa mkosi huu KIRUUUUUUU
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
We mwenyewe unajiita Mzigua wa kuchovya...Wajameni hv kweeeeeeeli kabisa waume hakuna au ndo wenzetu( wanaume kama mabinti) mnatuzibia rizki naona waoaji kibaaaaooo kila kukichaaa ila waume wa kudumu hakuna khaaaaa maana sio kwa mkosi huu KIRUUUUUUU
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
umenena mkuuuNjoo nikugawie mmoja
umekuwa kuwadi?Njoo nikugawie mmoja
Naona umekuja kivingine! Vipi ulimpata huyu Natafuta mumeWajameni hv kweeeeeeeli kabisa waume hakuna au ndo wenzetu( wanaume kama mabinti) mnatuzibia rizki naona waoaji kibaaaaooo kila kukichaaa ila waume wa kudumu hakuna khaaaaa maana sio kwa mkosi huu KIRUUUUUUU
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Una kazi? Au shughuli yoyote ya kukuingizia kipato? Kama huna basi shida inaanzia hapo shosti, wenyewe wanasema hawataki magoli keeper coz wanamizinga sana, si unajua wanaume wa sikuiz kwa kukwepa majukumu? Basi kama huna shughuli yoyote basi tafuta dear, maana itakua wanakuogopa, mtu anawaza kukumiliki wewe na mahitaji yako yote anaamua kukimbia.Wajameni hv kweeeeeeeli kabisa waume hakuna au ndo wenzetu( wanaume kama mabinti) mnatuzibia rizki naona waoaji kibaaaaooo kila kukichaaa ila waume wa kudumu hakuna khaaaaa maana sio kwa mkosi huu KIRUUUUUUU
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]