Waume zetu msiache kufanya mapenzi na sisi tukiwa wajawazito

Katika hoja hii natamani wajuzi katika sekta ya afya waje watupe majibu zaidi.

Lakini kwa uelewa wangu, ni vyema waume zetu wakaendelea kufanya mapenzi nasi tukiwa na ujauzito.

Mimi sio mtaalamu sana lakini nina hakika na sababu mbili:

1. Inatusaidia kwenye kuongeza kujiamini kwa sababu ukiwa na mimba unaweza kupoteza kujiamini kwako kwenye suala la mvuto. Lakini mume wangu akionesha kwamba bado ananitaka sana, itanisaidia.

2. Nimeelezwa kwamba tendo lile linakaza misuli yetu na kutupunguzia safari za kwenda haja ndogo mara kwa mara.

Wataalamu naomba mtupe sababu nyingine za kufanya hawa wanaume waelewe.

View attachment 1989684
Pia inaweza ikatokea ukapata mimba juu ya mimba
 
sawa
 
Back
Top Bottom