Single_Father
JF-Expert Member
- Jan 23, 2025
- 281
- 438
Mmmh kutoboa peke yako na malezi ya upande mmoja si mazuri sana kwa watoto. Tafuta mwanamke mwenye roho nzuri na hofu ya Mungu.
Vita kati ya watoto na mama Mpya huwa kubwa sana.Nilishihudia sehem mtoto akikataa mama wa kambo asikae karibu na babà yake.