Waume zetu ndiyo tumefikia huku jamani?

Ila ke mna matumbo sana punguzeni machips, kuna dogo wa afu mbili ila hilo tumbo ni la 80 πŸ˜‚
Haya madogo wa afu mbili wakusikilize na walifanyie kazi.
Sisi wa 80's acha tujidai na matumbo yetu tu πŸ˜† πŸ˜† πŸ˜†.
 
Tunavumiliana sana, mkitoka wote unapigiwa simu unaulizwa vipi shemeji ana mjomba wetu Nini, kumbe walah ni tumbo tu limetuna. Watu wanapata wakati mgumu.
πŸ˜† πŸ˜† Daah kweli mnapitia wakati mgumu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…