Keynez
JF-Expert Member
- Feb 12, 2007
- 3,809
- 6,948
Kulifunga kanisa la Ufufuo na Uzima na kunyima maelfu ya waumini wa Kanisa hilo uhuru wa kikatiba wa kuabudu siyo jambo dogo linalotakiwa kuchukuliwa kwa wepesi.
Ningeshauri Waumini wa kanisa hili na Watanzania wengine wote wa imani zote na madhehebu yote wanaoamini katika utawala wa sheria na wasiotaka uhuru huu wa kuabudu uchezewe, wakusanyike na waende katika ofisi za Mkuu wa Mkoa nchi nzima waidai haki hii.
Tuijenge Tanzania mpya hatua kwa hatua kwa kupigania haki zetu za msingi.