Hemedy Jr Junior
JF-Expert Member
- Feb 17, 2023
- 915
- 1,082
Wakristo mliosoma biblia kama mwongozo wenu, naomba mnijibu maswali yangu haya yafuatayo ...
1. Aliyeandika biblia ni nani? na kwa lugha ya kiswahili?
2. Biblia ni nini?
3. Nabii gani aliyepokea hiyo biblia au kuletewa hiyo biblia.
4. Injili ni kitabu cha wakina nani? Na yesu alitumwa kwa Mataifa mangapi ili akafikishe ujumbe?
5. Yesu alisujudu , wewe mkristo unayedai unamfuata yesu kristo unasujudu? na kama husujudu unafuata nini kwa yesu alichokifanya?
6. Yesu alioa? Kama akuoa wewe mbona unaoa?
7. Yesu akuvaa msalaba je, we mkristo unavaa msalaba Shingoni kwa andiko gani? Au kwa kumfuata nani?
8. Kama unamashaka kuhusu Mtume Mohammad sio mtume wa mwisho na Qur'an sio katiba ya Mungu ili ikatuongoze Waanadamu, mbona unakubali zaburi na torati? Unakifahamu kilichoandikwa kwa torati na zaburi?
Chukua hii...
Uislam ni kujisalimisha kwa mwenyezi Mungu kwahiyo ukijisalimisha wewe utakuwa muislamu ndo maana tunasema Yesu alikuwa Muislamu kwa maana alijisalimisha kwa mola wake.
Naomba majibu ya maswali hayo... yako name (8) lila swali na ushahidi itapendeza. Kila muumini wa ukristo akinijibu swali moja itapendeza Elimu ni pana nahitaji kufahamu na kuongeza Maarifa. Asante.