Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ujajibu maswali unaongea ujinga. Uislamu hauna dhehebuKabla ya hoja zako. Tambua hata huo uislamu ulianzishwa na Wakatoliki. Madhehebu yote uyaonayo ni matawi ya ukatoliki. Ukatoliki ndio umeitunza Biblia na Ukristo.
Kama Kuna anayebisha hili alete hojaWaislamu na majini ni ndugu wa damu,Wana vinasaba
Upo vizuri kwenye dini ungekuwa haujaolewa ningekupa zawadi ya kukuoaMsalaba ni alama au ishara ya Kikristo inayowakilisha kifo na ufufuo wa Yesu Kristo. Hata hivyo, haijulikani iwapo wanafunzi wa Yesu walivaa au kuvaa msalaba baada ya kifo chake. Ni kweli kwamba baada ya Yesu kufa, aliwaachia mama yake na wanafunzi wake, lakini hakuna ushahidi wa kihistoria unaothibitisha iwapo walivaa au kuvaa misalaba. Msalaba kama ishara ya Kikristo ilianza kutumiwa na Wakristo wa baadaye kama ishara ya imani yao katika Yesu Kristo.
Leo nina majibu konki. Uliza lingine?😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅🙂
Shia,sunni,salafi,nk,ni nini kama sio madhehebu kwenye uislamuUjajibu maswali unaongea ujinga. Uislamu hauna dhehebu
Shia inafuata mamlisho gani?Shia,sunni,salafi,nk,ni nini kama sio madhehebu kwenye uislamu
Ngoja nicheke kwanza 😅😅😅Upo vizuri kwenye dini ungekuwa haujaolewa ningekupa zawadi ya kukuoa
Uislamu hauna dhehebuShia,sunni,salafi,nk,ni nini kama sio madhehebu kwenye uislamu
Neno wa Mungu anaongea na watu wake, kizazi na kizazi.Biblia ni nini?
Siyo kitabu, ni uhusiano wa Mungu na wanadamu aliowaumba... kizazi na kizazi, tangu kuumbwa kwa dunia.Nabii gani aliyepokea hiyo biblia au kuletewa hiyo biblia
Injili ni habari njema iliyoletwa na Masihi na Kristu - Mungu Mwana, Mungu nafsi ya pili, Mungu-mtu.Injili ni kitabu cha wakina nani? Na yesu alitumwa kwa Mataifa mangapi ili akafikishe ujumbe?
Kumfuata Kristu ni kuishi amri kuu ya upendo.Yesu alisujudu , wewe mkristo unayedai unamfuata yesu kristo unasujudu? na kama husujudu unafuata nini kwa yesu alichokifanya?
Kuna miito ya aina tatu:Yesu alioa? Kama akuoa wewe mbona unaoa?
Msalaba ni ishara ya upendo. Kwamba njia pekee ya kutufikisha mbinguni ni kuiuishi upendo.Yesu akuvaa msalaba je, we mkristo unavaa msalaba Shingoni kwa andiko gani? Au kwa kumfuata nani?
Usijifunze Biblia kwa kutumia Quran, ama vice versa. Usijifunze Ukristu kwa kutumia Uislam.Kama unamashaka kuhusu Mtume Mohammad sio mtume wa mwisho na Qur'an sio katiba ya Mungu ili ikatuongoze Waanadamu, mbona unakubali zaburi na torati? Unakifahamu kilichoandikwa kwa torati na zaburi?
KWA furaha au masikitikoNgoja nicheke kwanza 😅😅😅
Imeandikwa katika Kutoka 20: 4Yesu ndo kafanya watu wavae msalaba. Alisulubishwa msalabani.
Wanavaa ili kukumbuka mateso ya Yesu.
Umejibu vizuri sanaMwandishi wa Biblia ni Mungu mwenyewe kupitia wanadamu
Hakuna ulichojibu. Unajua maana ya kupata elimu usiogope kujifunza.Neno wa Mungu anaongea na watu wake, kizazi na kizazi.
Siyo kitabu, ni uhusiano wa Mungu na wanadamu aliowaumba... kizazi na kizazi, tangu kuumbwa kwa dunia.
Injili ni habari njema iliyoletwa na Masihi na Kristu - Mungu Mwana, Mungu nafsi ya pili, Mungu-mtu.
Kumfuata Kristu ni kuishi amri kuu ya upendo.
Kuna miito ya aina tatu:
• Wito wa kwanza sote tumeitwa kuwa watakatifu
• Wito wa utume - daraja takatifu, ndoa, maisha pekee (single life)
• Wito wa huduma - kazi
Kristu aliamua kuishi useja kama wito wake wa utume.
Msalaba ni ishara ya upendo. Kwamba njia pekee ya kutufikisha mbinguni ni kuiuishi upendo.
Kipimo kikubwa cha upendo ni kuwa tayari kutoa maisha yetu kwa ajili yawengine kama alivyofanya pale msalabani.
Huo ni Ukristu.
Usijifunze Biblia kwa kutumia Quran, ama vice versa. Usijifunze Ukristu kwa kutumia Uislam.
Achana nao, usibishane nao kwanza Yesu Kristo na Nabii Isa bin Maryam ni watu wawili tofauti.1. Biblia iliandikwa na waandishi mbalimbali katika muda wa karibu miaka 1500 hadi 1600 na kwa lugha mbalimbali za asili za waandishi hao. Kwa mfano, Agano la Kale liliandikwa kwa Kiebrania na Kidani, na Agano Jipya liliandikwa kwa Kigiriki. Tafsiri ya Biblia kwa lugha ya Kiswahili ilianza mwaka 1880 na imekuwa ikiendelea hadi leo, ikiwa na toleo nyingi za Kiswahili kama vile Union, Neno, Tafsiri ya Ulimwengu wa Leo na nyingine nyingi.
Biblia ni mkusanyo wa vitabu vitakatifu ambavyo vina historia na mafundisho ya dini ya Ukristo. Inajumuisha vitabu 66 vya Agano la Kale na Jipya, ambavyo vinasimulia hadithi za uumbaji, historia ya Israeli, maisha ya Yesu Kristo, mafundisho yake, na kazi za mitume wake.
Biblia haikuandikwa na nabii mmoja, badala yake ilikusanya maandishi kutoka kwa waandishi mbalimbali wa kipindi cha miaka 1500 hadi 1600. Waandishi hao walikuwa ni pamoja na manabii, wataalamu wa dini, wafalme, na watu wa kawaida. Kwa hivyo, hakuna nabii mmoja aliyepokea Biblia yote au kuletewa Biblia yote.
Injili ni kitabu kinachoelezea maisha na mafundisho ya Yesu Kristo, na kinajulikana pia kama "Evangelia" kwa lugha ya Kigiriki. Injili nne za Agano Jipya zinaitwa Mathayo, Marko, Luka, na Yohana. Yesu alitumwa kwa Wayahudi na hakutumwa kwa mataifa, lakini baada ya ufufuo wake, mitume wake walianza kusambaza ujumbe huo kwa mataifa yote duniani.