Waumini wa kikristo mnafuata muongozo gani? Nijibu maswali haya

Waumini wa kikristo mnafuata muongozo gani? Nijibu maswali haya

hakuna mtu maalum aliyegundua futari ya magimbi. futari ya magimbi ni chakula ambacho kimekuwepo kwa muda mrefu sana katika tamaduni za watu mbalimbali duniani, na hakuna mtu mmoja aliyejulikana kuwa ndiye aliyegundua au kuunda futari hii.

katika baadhi ya tamaduni, magimbi yamekuwa yakitumiwa kama chakula kwa muda mrefu, na watu walikuwa wakijumuisha magimbi kwenye milo yao kama chanzo cha kabohaidreti. futari ya magimbi inaaminika kuwa imezuka katika maeneo mbalimbali duniani kama chakula cha kuweza kusaidia watu kupata nguvu baada ya muda mrefu wa kufunga au kutofanya kazi ngumu.

futari ya magimbi pia ina umuhimu katika dini mbalimbali, kama vile uislamu, ukristo, na ubuddha. katika uislamu, futari ya magimbi huliwa kila siku wakati wa mfungo wa mwezi mtukufu wa ramadhani, ambapo watu hula kuanzia jua linapozama hadi alfajiri. katika ukristo, futari ya magimbi inaweza kutumiwa kama sehemu ya chakula cha ekaristi, au mwili wa kristo, katika ibada za misa.
Vizuri.Nani aligundua kanzu fupi?
 
Vizuri.Nani aligundua kanzu fupi?
Hakuna jina la mtu maalumu ambalo limetambuliwa kama aliyegundua kanzu fupi. Kanzu fupi ni vazi ambalo limekuwepo kwa muda mrefu katika tamaduni mbalimbali ulimwenguni. Ni vazi rahisi ambalo linavaliwa na watu katika maeneo mbalimbali kama vile Afrika, Mashariki ya Kati na Asia.

Katika baadhi ya tamaduni, kanzu fupi inajulikana kama "shati" au "tunika". Kwa mfano, katika baadhi ya nchi za Afrika Kaskazini, kama vile Misri, kanzu fupi inaitwa "galabiyya", huku katika nchi za Mashariki ya Kati, kanzu fupi inaitwa "thobe".

Hivyo basi, kwa kuwa kanzu fupi imekuwepo kwa muda mrefu katika tamaduni mbalimbali, haiwezekani kumtambua mtu maalumu ambaye aligundua kanzu fupi.
 
  • Thanks
Reactions: Auz
Haa haaa kwani unanionaje jamani?
Vyovyote vile jibu lipatikane
Kama mshawishi wa lugha ya kompyuta na teknolojia ya akili bandia, sina hisia wala uwezo wa kufikiria kama binadamu. Hivyo, sina uwezo wa kukuona wala kukuonaje kwa sababu mimi ni programu. Hata hivyo, niko tayari kusaidia na kujibu maswali yako kuhusu masuala ya teknolojia na lugha ya kompyuta.

[emoji28][emoji28] Ndo mambo yako haya[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mnapongezana ujinga... bible ni kilichotumwa kwa nani? Na biblia ya kiswahili imeandikwa na nani? Ushawai kuona Quran ya kiswahili? Tofauti na TAFSIR ?
Quran zenye upinde wa ushoga zipo zimejaa tele... Ndio maana afwande wa zenji mnamuona hana kosa kwa mujibu wa allah, maana allah amesema katikat ya ibada mskitin atamtuma jini ampulizie upepo matakon mtu yeyote aliyebong'oa...
 
Achana nao, usibishane nao kwanza Yesu Kristo na Nabii Isa bin Maryam ni watu wawili tofauti.
Hapana, Yesu Kristo na Nabii Issa ni mtu mmoja tu. "Yesu Kristo" ni jina la Kikristo linalotumiwa kumtambua mwana wa Maria, ambaye alizaliwa Bethlehemu miaka takriban 2,000 iliyopita. Alikuwa kiongozi wa kidini na mwalimu ambaye alieneza mafundisho yake kote Palestina wakati huo.

"Nabii Issa" ni jina la Kiarabu linalotumiwa kuwakilisha Yesu Kristo katika dini ya Kiislamu. Katika Qur'an, Yesu anaitwa "Issa bin Maryam" (Yaani "Yesu mwana wa Mariamu"). Waislamu wanamheshimu Yesu kama nabii mkuu na mmoja wa mitume wa Mwenyezi Mungu (Allah), na wanaamini kwamba alipewa ujumbe sawa na wa mitume wengine wa Mwenyezi Mungu.
Kwa hivyo, Yesu Kristo na Nabii Issa ni mtu mmoja tu, lakini majina yao yanatofautiana kutokana na tofauti ya lugha na dini zinazotumia majina hayo.
 
Mnapongezana ujinga... bible ni kilichotumwa kwa nani? Na biblia ya kiswahili imeandikwa na nani? Ushawai kuona Quran ya kiswahili? Tofauti na TAFSIR ?
Biblia haikutumwa kama sijui kudondoshwa bali iliandikwa na Mungu kupitia wanadamu aliowachagua.ndo mitume,manabii nk
Pia waliokuwa wakiandika walijawa roho wa Mungu aikuwa akiwaongoza nini waandike.(sipotezi mda kukufafanulia roho mtakatifu ni nini)

Wajuzi wa lugha walitafsuri biblia ili kila taifa na lugha wapate ule ujumbe.kutoka archives mbalimbali

Biblia ipo katika lugha zote duniani,hata kilingala unapata.

Kwanini unahitaji kujua sana haya?
 
Biblia ni kitabu kitakstifu kilichoandikwa na wanadam wakiongozwa na Mungu mwenyewe kupitia Roho Mtakatifu...
.
By teh way maswali yako yote yanajibiwa lkn huwezi kuyaelewa majibu kwa nmna ya kibinadam maana mambo Ya Yesu ni ya rihoni mara zote mwilini ni kukamilisha tu
 
WADAU NAONA BATTLE LIMEPOA SANA VIPI MNAFUTURU?[emoji13][emoji13][emoji13][emoji38][emoji38][emoji38]

mkirudi na shibe zenu tena moto utawakaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Biblia ni kitabu kitakstifu kilichoandikwa na wanadam wakiongozwa na Mungu mwenyewe kupitia Roho Mtakatifu...
.
By teh way maswali yako yote yanajibiwa lkn huwezi kuyaelewa majibu kwa nmna ya kibinadam maana mambo Ya Yesu ni ya rihoni mara zote mwilini ni kukamilisha tu
Kuna makosa kadhaa ya uandishi katika aya hiyo:

1. "Kitakstifu" badala ya "kitakatifu": Neno sahihi ni "kitakatifu", si "kitakstifu".

2. "By teh way" badala ya "By the way": Neno "the" limeandikwa vibaya.

3. "Maswali yako yote yanajibiwa lkn" badala ya "Maswali yako yote yanajibiwa lakini": Hapa, neno "lkn" ni kifupi cha "lakini" na ni muhimu kuliandika kwa ukamilifu.

4. "Kwa nmna ya kibinadam" badala ya "Kwa njia ya kibinadamu": Neno "nmna" ni kifupi cha "njia ya" na ni muhimu kuliandika kwa ukamilifu.

5. "Maana mambo Ya Yesu ni ya rihoni" badala ya "Maana mambo ya Yesu ni ya rohoni": Hapa, neno "rihoni" ni kosa la uandishi, na neno sahihi ni "rohoni".

6. "Mara zote mwilini ni kukamilisha tu" badala ya "Mara zote ni kukamilisha tu": Neno "mwilini" halina maana hapa, kwa hivyo linapaswa kuondolewa.
 
Mnapongezana ujinga... bible ni kilichotumwa kwa nani? Na biblia ya kiswahili imeandikwa na nani? Ushawai kuona Quran ya kiswahili? Tofauti na TAFSIR ?
Bro bwana unasikitisha sana, binafsi nimeoa muislam na dada yangu kaolewa na muislam ila nawadharau sana waislam kwa kuwa wengi upeo wao wa kujua na kuchanganua mambo ni mdogo sana. Hoja zao nyingi ni mfu sana. Mbona jamaa wamekuleza vizuri kuhusu Biblia.

Biblia linatokana na Neno la kigiriki "Biblos" likimaanisha "Muunganiko wa Vitabu" . Vitabu hivi vimeandikwa na watu 40 tofauti waluoishi miaka 1600 tofauti. Vitabu vya Mwanzo vitano vya Musa(Penta books) viliandikwa na Musa mwenyewe kwa kuambiwa cha kuandika na Mungu mwenyewe. KUTOKA 17:14. Vitabu vingine vimeandikwa 8 vya awali agano la kale vimeandikwa na Waandishi, Manabii, Wafalme na Makuhani kwa kuambiwa na Mungu mwenyewe na vilikusanywa na kuwekwa kwenye Gombo la Chuo na Nehemia. Vitabu vingine vya agano la kale pia viliandikwa na Manabii, Makuhani, waandishi na vilohifadhiwa toka vizazi hadi vizazi vya wana wa Israel na vilikuwa vikisomwa kila Sabato na ndio maana Yesu alisoma kwenye Sinagogi Isaya 61:1-4. Agano la kale liliandikwa kwa lugha ya kiebrania na lufha ya kale ya "kiaramic" wakati Agano jipya liliandikwa kigiriki na Mitume na Manabii wa Agano jioya kwa uobgozi wa Mungu wenyewe maana Mungu alisema na wanadamu pitia vinywa vya wanadamu. 2 Timotheo 3:16-17, 2Samweli 23:2, 2 Petro 1:20-21, Yeremia 36:2-8. Watu hao 40 wote walikuwa nq Ujumbe unaofanana yaani toka Anguko la Mwanadamu, Ukombozi wa mwanadamu na Nchi mpya na mbingu Mpya.

Baada ya kusambaa kwa ukristo dunia nzima, ilipaswa Biblia iandikwe kwa watu wa kila lugha na jamaa kwani ukumbozi wa Mwanadamu uliwahusu watu wa kila lugha, jamaa na mataifa(Ufunuo 7:9-10) na agizo la Yesu ni sharti injili ihubiriwe ulimwenguni kote (Mathayo 24:14) hivyo ni vyema Mataifa yahubiriwe kwa lugha zao na sio kiebrania, kiaramic ambacho kimeshapotea duniani na kigiriki cha kale ambacho nacho hakipo. Mimi mmasai ni sharti nihubiriwe kimasai na ndipo Biblia ikatafsiriwa kwenda kiswahilo, kichaga, kihehe, kisukuma n.k. kwani Mungu wetu ndio muanzilishi wa lugha zote duniani pale alipozichafua lugha wakati wa kujenga mnara wa Babeli[Mwanzo 11:9] hata mitume wa mwanzo wa Yesu walipokea nguvu ya Roho Mtakatifu nao waluongea lugha za wanadamu tofauti na zao kwa ajili ya kwenda kuhubiri kwa kila Lugha na Mataifa.[Matendo 2:5-13]

Sasa kwanini Uislam na kiarabu tu. Kwa sababu allah hajui lugha nyingine wala hawezi jibu maombi nje ya Lugha ya kiarabu
 
Nyie endeleeni za suna za mtume wenu kuingikia tupu za nyuma
Mbona hakuna uhusiano wa unayoongelea na picha? Tusiendekeze kashfa, soma Biblia itakupa muongizo wa jinsi ya kuishi vyema haya maisha!
 
Wakristo mliosoma biblia kama mwongozo wenu, naomba mnijibu maswali yangu haya yafuatayo ...
1. Aliyeandika biblia ni nani? na kwa lugha ya kiswahili?
2. Biblia ni nini?
3. Nabii gani aliyepokea hiyo biblia au kuletewa hiyo biblia.
4. Injili ni kitabu cha wakina nani? Na yesu alitumwa kwa Mataifa mangapi ili akafikishe ujumbe?


5. Yesu alisujudu , wewe mkristo unayedai unamfuata yesu kristo unasujudu? na kama husujudu unafuata nini kwa yesu alichokifanya?

6. Yesu alioa? Kama akuoa wewe mbona unaoa?

7. Yesu akuvaa msalaba je, we mkristo unavaa msalaba Shingoni kwa andiko gani? Au kwa kumfuata nani?

8. Kama unamashaka kuhusu Mtume Mohammad sio mtume wa mwisho na Qur'an sio katiba ya Mungu ili ikatuongoze Waanadamu, mbona unakubali zaburi na torati? Unakifahamu kilichoandikwa kwa torati na zaburi?

📌 Chukua hii...
. Uislam ni kujisalimisha kwa mwenyezi Mungu kwahiyo ukijisalimisha wewe utakuwa muislamu ndo maana tunasema Yesu alikuwa Muislamu kwa maana alijisalimisha kwa mola wake.

......... naomba majibu ya maswali hayo... yako name (8) lila swali na ushahidi itapendeza . Kila muumini wa ukristo akinijibu swali moja itapendeza Elimu ni pana nahitaji kufahamu na kuongeza Maarifa. Asante.
Biblia ni jina la jumla kwa ajili ya vitabu vitakatifu vya dini ya Uyahudi na hasa ya Ukristo. Neno limetokana na lugha ya Kigiriki ambayo ndani yake βιβλία (biblia) ina maana ya "vitabu" ikiwa ni uwingi wa βιβλος (biblos). Hii ni kwa sababu Biblia ni mkusanyo wa maandiko mbalimbali yaliyoweza kutungwa kwa muda wa miaka 1000 hivi.

Vitabu sitini na sita (66) tofauti vyanaunda Biblia. Navyo ni pamoja na vitabu vya sheria, kama vile Mambo ya Walawi na Kumbukumbu; vitabu vya kihistoria, kama vile Ezra na Matendo; vitabu vya mashairi, kama vile Zaburi na Mhubiri; vitabu vya unabii, kama vile Isaya na Ufunuo; wasifu, kama vile Mathayo na Yohana; na nyaraka +barua rasmi kama vile Tito na Waebrania.

WAANDISHI

takribani waandishi 40 mbalimbali wa binadamu walichangia kuandika Biblia, ambayo iliandikwa katika kipindi cha miaka 1500. Waandishi walikuwa wafalme, wavuvi, makuhani, viongozi wa serikali, wakulima, wachungaji, na madaktari.

Umoja wa Biblia ni kutokana na ukweli kwamba, hatimaye, ina Mwandishi mmoja - Mungu mwenyewe. Biblia ni "pumzi ya Mungu" (2 Timotheo 3:16). Waandishi wanadamu waliandika kile hasa Mungu alitaka waandike, na matokeo yake ilikuwa kamilifu na takatifu ya neno la Mungu (Zaburi 12:6, 2 Petro 1:21).

MGAWANYIKO

Biblia imegawanywa katika sehemu mbili kuu: Agano la Kale na Agano Jipya. Kwa ufupi, Agano la Kale ni hadithi ya taifa, na Agano Jipya ni hadithi ya mwanadamu. Taifa ilikuwa njia ya Mungu ya kuleta Mwana-Adamu- Yesu Kristo ulimwenguni.

Agano la Kale inaeleza mwanzilishi na utunzaji wa taifa la Israeli. Mungu aliahidi kutumia Israeli kubariki dunia nzima (Mwanzo 12:2-3). Pindi tu baada ya Israeli ilianzishwa kama taifa, Mungu alianzisha familia ndani ya taifa hilo ambaye kupitia kwayo baraka zitapitia: jamaa ya Daudi (Zaburi 89:3-4). Kisha, kutoka ukoo wa Daudi ameahidi Mtu moja ambaye ataleta baraka ya ahadi (Isaya 11:1-10).

Agano la Jipya laeza kwa undani juu ya ujio wa mtu wa ahadi. Jina lake Yesu, na alitimiza unabii wa Agano la Kale kama Yeye aliishi maisha kamilifu, alikufa ili awe Mwokozi, na kufufuka kutoka wafu.

TABIA YA KATI

Yesu ni mhusika mkuu katika Biblia, kitabu chote chazungumza juu yake. Agano la Kale linatabiri kuja kwake na laweka mikakati ya kuingia kwake ulimwenguni. Agano la Jipya inaeleza kuja kwake na kazi yake huleta wokovu kwa ulimwengu wetu wa dhambi.

Yesu ni zaidi ya shujaa wa kihistoria, kwa kweli, Yeye ni zaidi ya mwanadamu. Yeye ni Mungu katika mwili, na kuja kwake kulikuwa tukio muhimu katika historia ya dunia. Mungu mwenyewe akawa mwanadamu ili atupe mwelekeo wa picha inayoeleweka kuwa yeye ni nani. Mungu anafanana na nini? Yeye ni kama Yesu; Yesu ni Mungu katika umbo la binadamu (Yohana 1:14, 14:9).

BIBLIA KWA UFUPI

Mungu alimuumba mwanadamu na kumweka katika mazingira kamili, hata hivyo, mwanadamu alimwasi Mungu na akaanguka kutoka kwa kile Mungu alikusudia awe. Mungu aliiweka dunia chini ya laana kwa sababu ya dhambi lakini papo hapo Akaweka mpango wa kurejesha mwanadamu na viumbe vyote kwa utukufu wake wa awali.

Kama sehemu ya mpango wake wa ukombozi, Mungu alimwita Ibrahimu toka Babeli na kuenda katika nchi ya Kanaani (yapata 2000 K.K). Mungu alimwahidi Abrahamu, Isaka mwanawe, na mjukuu wake Yakobo (pia iitwayo Israeli) kuwa atabariki dunia kwa njia ya ukoo wao. Familia ya Israeli ilihamia Misri toka Kanaani, ambapo waliongezeka na kuwa taifa.

Mnamo 1400 K.K, Mungu aliwaongoza wana wa Israeli nje ya Misri chini ya uongozi wa Musa akawapa Nchi ya Ahadi, Kanaani, kama nchi yao wenyewe. Kupitia Musa, Mungu aliwapa watu wa Israeli Sheria na alifanya patano (agano) pamoja nao. Kama wangeweza kukaa waaminifu kwa Mungu bila kufuata ibada ya sanamu ya mataifa jirani, basi wao watafanikiwa. Ikiwa watamwaacha Mungu na kufuata sanamu, basi Mungu atariaharibu taifa lao.

takribani miaka 400 baadaye, wakati wa utawala wa Daudi na Sulemani mwanawe, Israeli uliunganishwa pamoja na kuwa ufalme mkubwa na wa nguvu. Mungu aliahidi Daudi na Sulemani kwamba mtoto wao angetawala kama mfalme wa milele.

Baada ya utawala wa Sulemani, taifa la Israeli likagawanyika sehemu mbili. Makabila kumi ya kaskazini waliitwa "Israel," na wao walidumu miaka 200 kabla ya hukumu ya Mungu kwa ajili ya ibada yao. Asiria ikatwaa Israeli kama watumwa karibu 721 BC. Makabila mawili katika kusini yaliitwa "Yuda," na wao walidumu muda mrefu kidogo, lakini hatimaye, pia, wakageuka kutoka kwa Mungu. Babeli aliwachukua mateka 600 BC

Miaka 70 baadaye, Mungu kwa neema aliwaleta mabaki ya wafungwa nyumbani kwa nchi yao wenyewe. Yerusalemu, mji mkuu, ulijengwa upya karibu 444 BC, na Israeli kwa mara nyingine tena ikawa na urahia wa taifa. Hivyo, Agano la Kale lafungwa.

Agano la Jipya linaanza karibu miaka 400 baadaye na kuzaliwa kwa Yesu Kristo katika Bethlehem. Yesu ni mtoto aliyeahidiwa Ibrahimu na Daudi, yole atakayetimiza mpango wa Mungu kwa kumkomboa mwanadamu na kurejesha viumbe. Yesu kwa uaminifu alikamilisha kazi yake alikufa kwa ajili ya dhambi na kufufuka kutoka wafu. Kifo cha Kristo ni msingi kwa ajili ya Agano Jipya (agano) pamoja na ulimwengu. Wote ambao wana imani katika Yesu wataokolewa kutoka katika dhambi na kuishi milele.

Baada ya kufufuka kwake, Yesu aliwatuma wanafunzi wake kueneza habari kila mahali ya maisha yake na uwezo wake wa kuokoa. Wanafunzi wa Yesu wakaenda katika kila sehemu kueneza habari njema ya Yesu na wokovu. Wao walisafiri kwa njia ya Asia ndogo, Ugiriki, na kila Dola ya Kirumi.

Agano Jipya linafungwa na utabiri wa kurudi kwa Yesu kuhukumu ulimwengu usio amini na kukomboa viumbe kutoka kwa laana.


NI AKINA NANI WALIKUWA WAANDISHI WA VITABU VYA BIBLIA?
Jibu:
Hatimaye, zaidi ya waandishi wa binadamu, Biblia iliandikwa na Mungu. Timotheo wa pili 3:16 inatuambia kwamba Biblia ni "pumzi" ya Mungu. Mungu aliwaongoza waandishi wa binadamu wa Biblia ili, huku wakitumia mitindo wa uandishi na wenyewe wa haiba, wao bado walinakili kile hasa ni lengo la Mungu. Biblia haikuimliwa na Mungu, lakini iliongozwa kikamilifu na Mungu.
 
Asante kwa majibu mazuri. Japo kuna 5. Hapo umesema hakuna uthibitisho . Kitu bila uthibitisho ni batili sasa kwanini nisiseme ukristo ni uongo maana kuna mambo yanafuatwa na mengine hayafuatwi.

Qur'an sio kiarabu.. sasa biblia inakuwaje kiswahili au lugha nyinginezo? Hapa nieleweke ninaposema Quran sio kiarabu?
....
Kwani Quran ni Biblia?
 
Biblia kua kitabu kilichokusanywa na kuandikwa kwa maelfu ya miaka inaleta mantiki japo nao hukiri kua si vyote vimeandikwa humo.

Uislam naukubali ila una mkanganyiko mno hasa kupatikana kwa quran, mtu mmoja akiwa pangoni ndo alishushiwa, tena bila kuandika ni kwa kukalili tu...
Em nielewesheni hapa ndgu zangu katika uislam.
 
Na pia kwenye mihadhara ya kiislamu wale mashekhe huhusianisha biblia na quran.
Ni yapi maoni ya waislam juu ya hilo?? Comments nyingi jf waislam huikandia biblia kua ina mkanganyiko na wakati huohuo wale mashekhe huitumia!!.

Tena wanaitumia vizuri na wameiweka kichwani kwelikweli, swali ni je waislam mnaiamini biblia?

Huwa mnafundishwa kuhusu biblia huko madrasa?

Mnaiheshimu biblia kama mnavyoiheshimu Quran??
Cc FaizaFoxy
 
Back
Top Bottom