Waumini wa kikristo mnafuata muongozo gani? Nijibu maswali haya

Ila majini ni wajomba wenu

BIBI KHADIJA AMPA UTUME MUHAMMAD ILI KUMFARIJI BAADA YA KUPIGWA NA MALAIKA JIBRIL​

13528920_618041685012104_8538365652835607959_n.jpg

Ndugu zanguni,
YALIYOMKUTA MTUME BAADA YA KUTOKA PANGONI!
Basi Mtume akafanya khofu, akarejea kwa mkewe, akamhadithia, na pale pale homa kubwa kabisa, ikampanda, akataka afunikwe maguo, akawa anatetemeka kwa ngerema, na kuweweseka, na kusema, "Najikhofia nafsi yangu, kuchezewa na mashetani, na kuniharibu akili yangu na kunizuga"(Kitabu cha maisha ya Nabii Muhamaad s.a,uk.17 kilichoandikwa na Sheiky A.Farsy).
MASWALI:
(i). Kama Jibril ndie alitumwa na Allah, na huyo Allah ni Mungu, kwanini Muhammad alisema kuwa nafsi yake imechezewa na MASHETANI baada ya kukutana na Jibril?
(ii). Kama Jibril alitoka kwa Allah, kwanini Muhammad alipo toka pangoni alisema kuwa Jibril AMEMZUGA AKILI YAKE?
Vipi kwa Hadidja?
Mjane aliyefiwa na waume wake 2 kisha akajichukulia Muhammad kama mume wake wa tatu, Huyu ndiye aliyeingia wa kwanza katika imani potofu ya uislamu. Lakini natujiulize hili swali:
Je, inakuwaje mtu ambaye bado ni mkafiri kutowa utume kwa mwingine kabla yeye hajajuwa ujumbe wa mtume huyo nakuuamini?
Bila shaka jibu laweza kuwa ni upumbavu wakupindukia.
Hebu tuone Qura’n inavyosema kuhusu kupewa utume, kupewa wahyi au ujumbe,
Qr.7:144 au surat Al-A’raaf 144
(Mwenyezi Mungu) akasema: Ewe Musa! Mimi nimekuteuwa wende kwa watu na ujumbe wangu na maneno yangu. Basi chukuwa niliyikupa na uwe katika wale wanaoshukuru.
Kwanini Allah Subhanau Watahallah hakufanya hivihivi kwa Muhammad s.a.w katika pango la Jabal Hira?
Swala la Muhammad kuwa ni mtume katika maandishi ya Qura’n na hadithi zote siyo hoja lakini hoja yetu ni «Kapewa na nani huo utume?
MKEWE AMPA UTUME ILI KUMFARIJI!
Pale pale bibi Khadija akamdakiza, akamwambia, "Wacha hayo siyo yatakayokuwa hayo, wewe huwezi kuchezewa na mashetani, shetani hawezi kumchezea mtu mwenye sifa zako, wewe unatazama vema Jamaa zako, unawadhihirisha watu sifa nzuri, ambazo hukuwa mwenye nazo, unachukua mizigo ya watu wasiokuwa wako, unafanya hivi, unafanyi hivi, furahi ndugu yangu, pumua moyo wako, Wallahi mimi mkeo naona umekwisha kuwa mtume."
(Kitabu cha wakeze Mtume wakubwa na wanawe, uk. 12)
KHAJIDA ANASEMA HIVI "Nukuu" WALAHI MIMI MKEO NAONA UMESHAKWISHA KUWA MTUME.
Huu ni uhakikisho kwamba Muhammad hakupewa utume na Mungu wa Israeli, sababu ukisoma pia kitabu chawakeze wakubwa na wanaweukurasa wa 12 kuna maneno yanayorudilia haya ambayo tumeyasoma hapo juu yakisema hivi:
Nanukuu,
Basi Mtume akafanya hofu akarejea kwa mkewe, akamwadithia na palepale homa kubwa kabisa ikampanda, akataka afunikwe na maguo mara akawa anatetemeka kwa nderema na anaweweseka na kusema: «Najihofia nafsi yangu kuchezewa na mashetani na kuniharibu akili yangu na kunizuga!
Hapo katika pango la Jabal Hira ndipo Waislamu na Qura’n hudai kwamba ndipo alipopokea Wahyi wa Qura’n, utume na unabii.
Lakini twaona na kusikia maneno ya Mtume mwenyewe yanashuhudia alichokutana nacho pangoni ambacho ni Shetani sababu hata Biblia Takatifu hushuhudia hivi:
1 Yohana 1:3
Hilo tuliloliona nakulisikia, twalihubiri na nyinyi: ili na nyi pia mpate kushirikiana nasi: na ushirika wetu ni pamoja na Baba, na pamoja na Mwana wake Yesu Kristo.»
Ukweli ni kwamba huyu Shetani aliyekutana na maskini Muhammad pangoni hakumpa hata utume wala unabii isipokuwa mkewe Hadidja na Bwana Waraqa bin Naufal ndio waliomshauri Muhammad kujibashiria kuwa yeye ni Mtume wa Umma kama tulivyo soma katika kurasa ambazo tumekuwekea picha zake hapo juu.
Huu ndio mwanzo wa utume wa Muhammad alio pewa na Mkewe Khadija. Muhammad baada ya kupigwa na Jibril na kukiri kwake kuwa amezugwa na kuchezewa akili, ni sifa tosha kuwa huyu Muhammad ni BANDIA zaidi ya kupewa utume na Mkewe Khadija.
Huu ni msiba mkubwa sana na hii juisi ya Pilipili Waislam kamwe hawawezi kuinywa.
 
MUHAMMAD ALIKUWA ANAPIGA WAKE ZAKE
13417629_612347442248195_2489669649800928795_n.jpg

Ndugu msomaji,
Muhammad alikuwa na tabia ya kuwapiga wake zake, hususan Aisha na Hafsa.
Nabii wa Alah Muhammad alipiga Aisha kifuani na kumsababishia maumivu makali. Sahih Muslim #2127:
SOMA KISA HIKI HAPA CHINI.
Sahih Muslim #2127:
Ilipokuwa zamu yangu kwa Nabii wa Allah kuwa nami usiku, aliingia na kugeuka, akavua joho lake na viatu vyake, na kuviweka karibu na miguu yake, na akajilaza kwenye kitanda mpaka alipo fikiria kuwa na mimi nimelala.
Basi akachukua joho lake taratiibu na kuvaa viatu vyake, na akafungua mlango na kutoka nje na kuufunga taratibu. Aisha akasema, na mimi nikajifunika kichwa changu, na kuvaa hijabu yangu na kujifunga nguo kiunoni mwangu, na baadae nikatoka nje na kumfuta Nabii wa Allah mpaka alipo fika Baqi.
Alisimama pale kwa muda mrefu. Na baadae akanyanyu mikono yake mara tatu, na baadae kurudi, na mimi vile vile nikarudi nyumbani. Alikuwa anatembea kwa haraka haraka, na mimi vile vile nilitembea kwa haraka haraka. Alikimbia, na mimi nikakimbia vile vile. Akaja nyumbani na mimi vile vile nilikwenda nyumbani, ingawa mimi nilkwenda kwa haraka kabla yake. Nilipo ingia tu na kujilaza kitandani, na Nabii wa Allah akaingia nyumbani, akasema: Hii ni nini, O' Aisha, mbona unahema sana? Nikamwambia, hakuna kitu. Akasema, Niambie au una mambo ya siri hautaki kuniambia.
Nikamwabia, Nabii wa Allah, baba na mama yangu wawe fidia kwako, halafu nikamwambia kila kitu bila kumficha kitu. Muhammad akasema, kumbe nilicho kuwa nakiona kwenye giza mbele yangu ilikuwa ni wewe? Nikamjibu, NDIO. Basi Nabii wa Allah, AKANIPIGA KWA NGUVU SANA KWENYE KIFUA CHANGU, na nilipatwa na maumivu makali sana. HALAFU AKASEMA, unafikiri Allah na Nabii wake wamekuonea?
Bukhari volume 8, #828
Amesema Aisha: Abu Bakr alikuja kwangu na akanipiga ngumi kwa nguvu sana na kusema, umewaweka watu kizuizini kwasababu ya mkufu wako. Lakini nilikuwa nimekaa kimya kama vile nimekufa, .......
Jamani, eti huyu ndie Nabii wa Allah. Hana jema zaidi ya kupiga wake zake, kisa, mke mtu kamfuata Baqi. Je, kama Muhmmad alicho kuwa anafanya ni jambo jema, kwanini aliondoka nyumbani kwake kimya kimya?
Kama kweli Muhammad hakwenda kufanya NDUMBA, kwanini alichukia pale alipo ambiwa kuwa Aisha na yeye alikuwa Baqi?
Hivi, kwanini MUHAMMAD ALIKUWA ANAPIGA WAKE ZAKE?
 
Ujinga mkubwa ninaouona ni wavaa makobazi kung'angania kuwa Ibrahim aliwahi kufika makka, wakati alikuwa anaishi Palestine km zaidi ya 900 kutokea huko. Na eti pale Kaaba alijenga nyumba. Wakati kila mtu anajua kuwa miaka maelfu pale kabla hata Ibrahim hajazaliwa ilikuwa ni sehemu ya kutambikia na kuabudu miungu wa kipagani Al-alat, al- uzza na manat
 
Wakristo mliosoma biblia kama mwongozo wenu, naomba mnijibu maswali yangu haya yafuatayo ...
1. Aliyeandika biblia ni nani? na kwa lugha ya kiswahili?
2. Biblia ni nini?
3. Nabii gani aliyepokea hiyo biblia au kuletewa hiyo biblia.
4. Injili ni kitabu cha wakina nani? Na yesu alitumwa kwa Mataifa mangapi ili akafikishe ujumbe?

5. Yesu alisujudu , wewe mkristo unayedai unamfuata yesu kristo unasujudu? na kama husujudu unafuata nini kwa yesu alichokifanya?

6. Yesu alioa? Kama akuoa wewe mbona unaoa?

7. Yesu akuvaa msalaba je, we mkristo unavaa msalaba Shingoni kwa andiko gani? Au kwa kumfuata nani?

8. Kama unamashaka kuhusu Mtume Mohammad sio mtume wa mwisho na Qur'an sio katiba ya Mungu ili ikatuongoze Waanadamu, mbona unakubali zaburi na torati? Unakifahamu kilichoandikwa kwa torati na zaburi?

Chukua hii...
Uislam ni kujisalimisha kwa mwenyezi Mungu kwahiyo ukijisalimisha wewe utakuwa muislamu ndo maana tunasema Yesu alikuwa Muislamu kwa maana alijisalimisha kwa mola wake.

Naomba majibu ya maswali hayo... yako name (8) lila swali na ushahidi itapendeza. Kila muumini wa ukristo akinijibu swali moja itapendeza Elimu ni pana nahitaji kufahamu na kuongeza Maarifa. Asante.
Aisee
 
Jibu la swali la 1
Biblia ni mkusanyiko wa maandiko matakatifu ya Kikristo ambayo yanatumiwa kama mwongozo wa imani na maadili kwa Wakristo. Biblia ilianza kuandikwa zaidi ya miaka 2000 iliyopita na waandishi mbalimbali ambao walipokea ufunuo kutoka kwa Mungu.
Hakuna mtu mmoja aliyewahi kuandika Biblia nzima. Badala yake, Biblia imeandikwa na waandishi mbalimbali katika muda wa miaka mingi. Sehemu ya kwanza ya Biblia, yaani Agano la Kale, ilitungwa na waandishi mbalimbali wa Kiebrania, kama vile Musa, Daudi, Isaya, Yeremia na wengine wengi. Sehemu ya pili ya Biblia, yaani Agano Jipya, ilitungwa na waandishi wachache, kama vile Mathayo, Marko, Luka, Yohana na Paulo.

Kuhusu kuandikwa kwa Biblia kwa lugha ya Kiswahili, hakuna mtu mmoja aliyetunga Biblia yote kwa Kiswahili. Badala yake, Biblia ya Kiswahili imeandikwa na wachapishaji mbalimbali ambao wamefanya kazi ya kutafsiri maandiko ya Biblia kutoka kwenye lugha za asili, kama vile Kiebrania, Kigiriki na Kilatini, na kuyaelezea kwa lugha ya Kiswahili ili kuwafikia wasomaji wengi zaidi.

Jibu la swali la 2
Biblia ni kitabu kitakatifu cha Kikristo ambacho kina maandiko matakatifu yanayotumiwa kama mwongozo wa imani na maadili kwa Wakristo. Biblia ina vitabu 66 (kwa madhehebu ya Kiprotestanti) au 73 (kwa madhehebu ya Kikatoliki) ambavyo vinaelezea historia ya uhusiano wa Mungu na mwanadamu na ujumbe wa wokovu kupitia Yesu Kristo.

Jibu la swali la 3
Hakuna nabii mmoja aliyepokea Biblia nzima. Badala yake, sehemu za Biblia zilipokelewa na manabii mbalimbali, ambao walipata ufunuo kutoka kwa Mungu na kuandika maandiko hayo. Kwa mfano, Musa aliandika vitabu vitano vya kwanza vya Agano la Kale, Daudi aliandika Zaburi nyingi, na Paulo aliandika sehemu nyingi za Agano Jipya.

Jibu la swali la 4
Injili ni kitabu ambacho kinaelezea maisha na mafundisho ya Yesu Kristo. Kuna Injili nne za Agano Jipya ambazo zinaitwa Injili ya Mathayo, Injili ya Marko, Injili ya Luka na Injili ya Yohana. Injili hizi zilikuwa zinatumika kama njia ya kufundishia na kuhubiria habari njema ya wokovu kwetu.

Jibu la swali la 5
Ndiyo, kuna Wakristo wengine ambao husujudu kama sehemu ya ibada yao. Hata hivyo, si kila Mkristo hufanya hivyo. Kila Mkristo ana uhuru wa kibinafsi kufanya ibada yake kwa njia anayopenda, lakini kitu kikubwa ni kufuata mafundisho ya Yesu Kristo na kumpenda Mungu na jirani kama yeye mwenyewe alivyotufundisha.

Jibu la swali la 6
Hakuna uthibitisho wa kihistoria kwamba Yesu alioa. Kwa kweli, Injili hazimtaji Yesu kuoa. Kwa hiyo, swali hili halina jibu sahihi. Kuhusu kuoana kwa Wakristo, hiyo ni suala la uamuzi wa kibinafsi ambalo linaweza kubadilika kulingana na tamaduni, imani na muktadha wa kijamii wa mahali husika.

Jibu la swali la 7
Yesu alivaa msalaba kama sehemu ya mateso yake na kifo chake msalabani. Kwa kuwa msalaba umekuwa ishara ya imani ya Kikristo kwa muda mrefu, baadhi ya Wakristo wamechukua desturi ya kuvaa msalaba kama ishara ya imani yao. Hata hivyo, desturi hii haipatikani katika Biblia moja kwa moja, na kila Mkristo ana uhuru wa kuchagua iwapo atavalia msalaba au la.

Jibu la swali la 8
Wakristo tunakubali Torati na Zaburi kama maandiko matakatifu ya Mungu kwa sababu maandiko haya yalitangulia kufika kwa Yesu Kristo na yalitumiwa na watu wa Mungu kwa miaka mingi kabla ya kuja kwa Yesu. Yesu mwenyewe alirejelea Torati na Zaburi katika mafundisho yake, na Wakristo tunaona maandiko haya kama sehemu ya historia na utamaduni wa imani yetu.

Hata hivyo, kuhusu masuala ya Muhammad na Qur'an, Wakristo tunaweza kuwa na maoni tofauti kwa sababu imani ya Kikristo ina msingi wake katika maandiko yake matakatifu, yaani Biblia. Kwa hiyo, mtazamo wa Wakristo kuhusu masuala haya unategemea jinsi tunavyoona uhusiano wa maandiko hayo na imani yao ya Kikristo.

Kuhusu Torati na Zaburi, Torati ni kitabu cha kwanza katika Tanakh (Biblia ya Kiebrania) ambacho kinaelezea maandiko matakatifu ya Kiyahudi. Zaburi ni kitabu cha uimbaji na maombi ya dini ya Kiyahudi. Vitabu hivi vimeandikwa kwa lugha ya Kiebrania. Wakristo tunakubali Torati na Zaburi kama maandiko matakatifu kwa sababu ya historia na uhusiano wao na imani ya Kikristo.

Hongera sana Mkuu umemaliza yooote.

Umejibu vizuri sana.
Kama ulikuwa KICHWANI kwangu.

Ila wao ukiwauliza Imani Yao wanakanyagana tu.

Tena swali Dogo tu
 
UMZEJIBU VIZURI SANA MKUU Reuben Challe.

MAJIBU SAFI KABISA.

Thanks Thanks

Cp.

KAMA NA HAPA BADO HAJAELEWA ATAKUWA NA MAJINI.
 
1. Biblia iliandikwa na waandishi mbalimbali katika muda wa karibu miaka 1500 hadi 1600 na kwa lugha mbalimbali za asili za waandishi hao. Kwa mfano, Agano la Kale liliandikwa kwa Kiebrania na Kidani, na Agano Jipya liliandikwa kwa Kigiriki. Tafsiri ya Biblia kwa lugha ya Kiswahili ilianza mwaka 1880 na imekuwa ikiendelea hadi leo, ikiwa na toleo nyingi za Kiswahili kama vile Union, Neno, Tafsiri ya Ulimwengu wa Leo na nyingine nyingi.

Biblia ni mkusanyo wa vitabu vitakatifu ambavyo vina historia na mafundisho ya dini ya Ukristo. Inajumuisha vitabu 66 vya Agano la Kale na Jipya, ambavyo vinasimulia hadithi za uumbaji, historia ya Israeli, maisha ya Yesu Kristo, mafundisho yake, na kazi za mitume wake.

Biblia haikuandikwa na nabii mmoja, badala yake ilikusanya maandishi kutoka kwa waandishi mbalimbali wa kipindi cha miaka 1500 hadi 1600. Waandishi hao walikuwa ni pamoja na manabii, wataalamu wa dini, wafalme, na watu wa kawaida. Kwa hivyo, hakuna nabii mmoja aliyepokea Biblia yote au kuletewa Biblia yote.

Injili ni kitabu kinachoelezea maisha na mafundisho ya Yesu Kristo, na kinajulikana pia kama "Evangelia" kwa lugha ya Kigiriki. Injili nne za Agano Jipya zinaitwa Mathayo, Marko, Luka, na Yohana. Yesu alitumwa kwa Wayahudi na hakutumwa kwa mataifa, lakini baada ya ufufuo wake, mitume wake walianza kusambaza ujumbe huo kwa mataifa yote duniani.
Mathayo 28:19, 20, walitumwa Kwa mataifa yote
 
Me naona utulie tu maan unatafuta ugomvi na watu.
Wakristo mliosoma biblia kama mwongozo wenu, naomba mnijibu maswali yangu haya yafuatayo ...
1. Aliyeandika biblia ni nani? na kwa lugha ya kiswahili?
2. Biblia ni nini?
3. Nabii gani aliyepokea hiyo biblia au kuletewa hiyo biblia.
4. Injili ni kitabu cha wakina nani? Na yesu alitumwa kwa Mataifa mangapi ili akafikishe ujumbe?

5. Yesu alisujudu , wewe mkristo unayedai unamfuata yesu kristo unasujudu? na kama husujudu unafuata nini kwa yesu alichokifanya?

6. Yesu alioa? Kama akuoa wewe mbona unaoa?

7. Yesu akuvaa msalaba je, we mkristo unavaa msalaba Shingoni kwa andiko gani? Au kwa kumfuata nani?

8. Kama unamashaka kuhusu Mtume Mohammad sio mtume wa mwisho na Qur'an sio katiba ya Mungu ili ikatuongoze Waanadamu, mbona unakubali zaburi na torati? Unakifahamu kilichoandikwa kwa torati na zaburi?

Chukua hii...
Uislam ni kujisalimisha kwa mwenyezi Mungu kwahiyo ukijisalimisha wewe utakuwa muislamu ndo maana tunasema Yesu alikuwa Muislamu kwa maana alijisalimisha kwa mola wake.

Naomba majibu ya maswali hayo... yako name (8) lila swali na ushahidi itapendeza. Kila muumini wa ukristo akinijibu swali moja itapendeza Elimu ni pana nahitaji kufahamu na kuongeza Maarifa. Asante
 
Sio marufuku kusoma biblia... ila wakristo kusema Qur'an kipengere
Wakristo Quran haiwahusu kabisa na hakuna mafundisho ya Biblia hanayoshabihiana na Quran mpaka waisome.
Tofauti na uislam ambao hurejerea biblia kwenye baadhi ya mafundisho yake kama hiyo mihadhara.
 
Wakristo mliosoma biblia kama mwongozo wenu, naomba mnijibu maswali yangu haya yafuatayo ...
1. Aliyeandika biblia ni nani? na kwa lugha ya kiswahili?
2. Biblia ni nini?
3. Nabii gani aliyepokea hiyo biblia au kuletewa hiyo biblia.
4. Injili ni kitabu cha wakina nani? Na yesu alitumwa kwa Mataifa mangapi ili akafikishe ujumbe?

5. Yesu alisujudu , wewe mkristo unayedai unamfuata yesu kristo unasujudu? na kama husujudu unafuata nini kwa yesu alichokifanya?

6. Yesu alioa? Kama akuoa wewe mbona unaoa?

7. Yesu akuvaa msalaba je, we mkristo unavaa msalaba Shingoni kwa andiko gani? Au kwa kumfuata nani?

8. Kama unamashaka kuhusu Mtume Mohammad sio mtume wa mwisho na Qur'an sio katiba ya Mungu ili ikatuongoze Waanadamu, mbona unakubali zaburi na torati? Unakifahamu kilichoandikwa kwa torati na zaburi?

Chukua hii...
Uislam ni kujisalimisha kwa mwenyezi Mungu kwahiyo ukijisalimisha wewe utakuwa muislamu ndo maana tunasema Yesu alikuwa Muislamu kwa maana alijisalimisha kwa mola wake.

Naomba majibu ya maswali hayo... yako name (8) lila swali na ushahidi itapendeza. Kila muumini wa ukristo akinijibu swali moja itapendeza Elimu ni pana nahitaji kufahamu na kuongeza Maarifa. Asante.
Kama dhambi ilivyoingia kupitia mtu mmoja,wote tukahesabiwa hatia,ndivyo ilivyo kwa haki itapatikana kupitia mtu mmoja.

" wanadamu tumepewa jina moja tu litupasalo kuokolewa kwalo" ...
"kwa maana jinsi hii,Mungu aliupenda ulimwengu,hata akamtoa mwanae pekee,ili kila mtu amwaminiye asipotee,bali awe na uzima wa milele"Yoh 3:16

Biblia imeandikwa na watu wengi chini ya uongozi wa roho mtakatifu.

Msingi wa dini ya ukristo ni Kristo mwenyewe.Kristo ndiye mwamba na juu ya mwamba huo,kanisa la kweli limejengwa.

Hata hivyo shetani amefanikiwa kutengeneza imani bandia na ameiita ukristo.Shetani hutamuona anapambana na marafiki zake.Ndio maana walio upande wake wanajiona wako salama.
Shetani ni mwerevu kuliko unavyodhani.

Naamini roho wa Mungu atakugusa.Hutapata amani hadi ukutane na Simba ashindaye wa Yuda,ndiye Kristo Yesu.
Utagombana na kila mtu,utachambua kila dini,kiu yako haitaisha.Yesu ndiye jibu.
Yako mengi hutayauliza tena siku ukikutana naye.

Barikiwa sana

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
 
Wenye hekima hujadili mambo ya KIIMANI NA MUNGU kwa hekima ili kujifunza ...

Lakini wasio na hoja huleta kejeli ili kujifurahisha nafsi zao kwa uchache maaarifa walio nayo...

Ukweli hutafutwa kwa hoja , rejea, mantiki fikra pevu nk....Hii ndo tofauti.

Utaona baadhi ya wachangiaji wanatoka katika points na msingi na kujadili kwa kuumiza hisia za upande mwingine..ili tu mtu apate usingizi.

Sio dhambi kwa binadamu wala hufungwi kuwaza na kujadili :-
(1) Chanzo chake ni nini.?..
(2) Lengo la yeye kuwepo hapa duniani ni nini.?..
(3) Nini hatima yake baada ya kufa kwake.?
(4) Je ipo nguvu kubwa inayoendesha huu ulimwengu na vitu vyake?..nk.
(5) Wapi pa kuyapata majibu hayo?
(6) Nani awe chanzo cha uhakika cha majibu hayo( reference) ambaye ukijikita kwa kina waweza kushiba kwa majibu hayo.?

Lazima binadamu afikiri maswali hayo akiwa akili huru kabisa bila ya kufungwa na kutegemea ushawishi na utashi wa binadamu mwenzako aliyevisoma sana vitabu vya dini..

Unaweza kuwa tu kuwa-guided na mtu/ watu walivyosoma vitabu vya dini, lakini mwisho wa siku iruhusu akili yako kuwa huru kupima na kuwaza majibu ya maswali hayo.

Chukulia kwamba Dunia ni kama chumba cha mtihani ambapo kila mtu ana PAPER yake anayoifaya kwa kufikiri majibu ya maswali hayo...

Mwenye akili hazozani ndani ya chumba kwa kejeli na utani, bali ataaumiza kichwa kutafakari mawali na majibu yake ktk dawati lake, akikwama aweza kumuuliza jirani yake na kuchagua kujaza au kuacha..Lakini wakati huohuo huwaona wenzake wakitoka chumba cha mtihani ( kwa kufa) mmoja baada ya mwingine...
 
Kama huamini Ukristo huwezi Kumuamini Yesu pia. Kitendo tu cha kuwataka wakristo wafanye kama Yesu alivyofanya ni kwamba umemuamini Yesu, kwa kinywa chako tayari sasa umeokoka. Karibu ibadani Jumapili Mchungaji atajibu maswali yako kwa ufasaha.

hata kama una Mengine sisi tutakuombea tu Yesu afungue ufahamu wako na ukishapata ufahamu hayo uliyoyaandika hapo juu hutamuuliza tena mtu maana utayajua mwenyewe.

Shaloom
 
Wakristo mliosoma biblia kama mwongozo wenu, naomba mnijibu maswali yangu haya yafuatayo ...
1. Aliyeandika biblia ni nani? na kwa lugha ya kiswahili?
2. Biblia ni nini?
3. Nabii gani aliyepokea hiyo biblia au kuletewa hiyo biblia.
4. Injili ni kitabu cha wakina nani? Na yesu alitumwa kwa Mataifa mangapi ili akafikishe ujumbe?

5. Yesu alisujudu , wewe mkristo unayedai unamfuata yesu kristo unasujudu? na kama husujudu unafuata nini kwa yesu alichokifanya?

6. Yesu alioa? Kama akuoa wewe mbona unaoa?

7. Yesu akuvaa msalaba je, we mkristo unavaa msalaba Shingoni kwa andiko gani? Au kwa kumfuata nani?

8. Kama unamashaka kuhusu Mtume Mohammad sio mtume wa mwisho na Qur'an sio katiba ya Mungu ili ikatuongoze Waanadamu, mbona unakubali zaburi na torati? Unakifahamu kilichoandikwa kwa torati na zaburi?

Chukua hii...
Uislam ni kujisalimisha kwa mwenyezi Mungu kwahiyo ukijisalimisha wewe utakuwa muislamu ndo maana tunasema Yesu alikuwa Muislamu kwa maana alijisalimisha kwa mola wake.

Naomba majibu ya maswali hayo... yako name (8) lila swali na ushahidi itapendeza. Kila muumini wa ukristo akinijibu swali moja itapendeza Elimu ni pana nahitaji kufahamu na kuongeza Maarifa. Asante.
Yaan,
UNACHO JARIBU KUKITAFUTA NI SAWA SAWA
UNACHOTA MAJI KWENYE KIZIBO CHA KISODA THEN
UNA HAMISHIA BAHARINI....

wenye akili wamenielewa...
 
Ukitaka kuujua Ukristo vizuri, uishi Ukristo utaufahamu vizuri otherwise usome vitabu na kutumia google utakutana na mabandiko mengi.
Ya wakristo ni ya wakristo.
 
Wakristo mliosoma biblia kama mwongozo wenu, naomba mnijibu maswali yangu haya yafuatayo ...
1. Aliyeandika biblia ni nani? na kwa lugha ya kiswahili?
2. Biblia ni nini?
3. Nabii gani aliyepokea hiyo biblia au kuletewa hiyo biblia.
4. Injili ni kitabu cha wakina nani? Na yesu alitumwa kwa Mataifa mangapi ili akafikishe ujumbe?

5. Yesu alisujudu , wewe mkristo unayedai unamfuata yesu kristo unasujudu? na kama husujudu unafuata nini kwa yesu alichokifanya?

6. Yesu alioa? Kama akuoa wewe mbona unaoa?

7. Yesu akuvaa msalaba je, we mkristo unavaa msalaba Shingoni kwa andiko gani? Au kwa kumfuata nani?

8. Kama unamashaka kuhusu Mtume Mohammad sio mtume wa mwisho na Qur'an sio katiba ya Mungu ili ikatuongoze Waanadamu, mbona unakubali zaburi na torati? Unakifahamu kilichoandikwa kwa torati na zaburi?

Chukua hii...
Uislam ni kujisalimisha kwa mwenyezi Mungu kwahiyo ukijisalimisha wewe utakuwa muislamu ndo maana tunasema Yesu alikuwa Muislamu kwa maana alijisalimisha kwa mola wake.

Naomba majibu ya maswali hayo... yako name (8) lila swali na ushahidi itapendeza. Kila muumini wa ukristo akinijibu swali moja itapendeza Elimu ni pana nahitaji kufahamu na kuongeza Maarifa. Asante.

Mtume wenu inasemekana alizikwa akiwa na mguu mmoja naomba kujua ule mwingine ulienda wapi na alifanya nini hadi akawa na mmoja.
Kama hujui kauliza wanazouni wako wakueleze.
 
1. Biblia iliandikwa na waandishi mbalimbali katika muda wa karibu miaka 1500 hadi 1600 na kwa lugha mbalimbali za asili za waandishi hao. Kwa mfano, Agano la Kale liliandikwa kwa Kiebrania na Kidani, na Agano Jipya liliandikwa kwa Kigiriki. Tafsiri ya Biblia kwa lugha ya Kiswahili ilianza mwaka 1880 na imekuwa ikiendelea hadi leo, ikiwa na toleo nyingi za Kiswahili kama vile Union, Neno, Tafsiri ya Ulimwengu wa Leo na nyingine nyingi.

Biblia ni mkusanyo wa vitabu vitakatifu ambavyo vina historia na mafundisho ya dini ya Ukristo. Inajumuisha vitabu 66 vya Agano la Kale na Jipya, ambavyo vinasimulia hadithi za uumbaji, historia ya Israeli, maisha ya Yesu Kristo, mafundisho yake, na kazi za mitume wake.

Biblia haikuandikwa na nabii mmoja, badala yake ilikusanya maandishi kutoka kwa waandishi mbalimbali wa kipindi cha miaka 1500 hadi 1600. Waandishi hao walikuwa ni pamoja na manabii, wataalamu wa dini, wafalme, na watu wa kawaida. Kwa hivyo, hakuna nabii mmoja aliyepokea Biblia yote au kuletewa Biblia yote.

Injili ni kitabu kinachoelezea maisha na mafundisho ya Yesu Kristo, na kinajulikana pia kama "Evangelia" kwa lugha ya Kigiriki. Injili nne za Agano Jipya zinaitwa Mathayo, Marko, Luka, na Yohana. Yesu alitumwa kwa Wayahudi na hakutumwa kwa mataifa, lakini baada ya ufufuo wake, mitume wake walianza kusambaza ujumbe huo kwa mataifa yote duniani.

Amen
 
Hakuna ushahidi wowote wa kihistoria unaounga mkono wazo kwamba Yesu alioa. Maandiko matakatifu ya Kikristo hayatoi habari yoyote kuhusu Yesu kuoa. Kwa hivyo, inakubalika kwa jumla kwamba Yesu hakuoa. Kuhusu swali lako kuhusu mimi kuoa, ni muhimu kuelewa kwamba mimi ni programu ya kompyuta na sina uwezo wa kuoa kwa sababu sina hisia kama binadamu.

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] This is so fun jamani.
#chatgpt
Nimecheka kwakweli.
Naona umeamua kumtolea uvivu mleta mada.
 
Back
Top Bottom