kama hawa wana majini utawahubiria nini zaidi ya kuyatiumua majini yao ? Yesu mwenyewe hakumpiga injili mgerasi.Baada ya majini kuondoka yule mgerasi alijitambua mwenyeweSaint Ivuga huo uponyaji ni kama tiba? Hakuna kanuni ya kiroho inayotumika kwenye miujiza? Ni kwa nini hao Manabii wako bize "kuponya" badala ya kuhubiri Injili ya Uponyaji?
Wameishaingia kwenye uchawi wake akiri haiwez kuwepo tena
YESU aliponya kwa kutumia hadi mate na matope na watu walimfuata hawakuacha kumfuata sembuse kutumia sabuni
Wanaume wengi dini hawana.Wameishaingia kwenye uchawi wake akiri haiwez kuwepo tena
Ebu angalia kwenye hayo maoni wanawake wako wangapi na wanaume wako wangapi
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi ningekushauli ukae chini utafakari akiri yako uiulize kuwa ni Nani alikuroga hadi hutaki kujiondoa ndani ya box? Mnatupatia Sana Kazi Ya kuwaelimisha, ngoja nikuambie ingekuwa hao wachungaji wanaponyesha kungekuwa Hakuna watu mahospitalini, naomba nirudie kungekuwa hao watu wanaponyesha kungekuwa Hakuna watu mahospitalini Kama hujaelewa ngoja niendelee kidogo, hivi unajua kuwa kuna watu wana Dawa Ya kumfanya mtu akapita Kwa watu pasipo watu kumuona inhali anapita wazi mchana kweupe? Hivi unajua kuwa kuna watu wanamfanya mtu kuwa ndondocha? Kama uliwahi kusikia basi hivyo hivyo wapo ambao wanaweza kuuzuia ugonjwa wako kwa muda usioonekane Lakini bado unaumwa na utaumwa na utakuja baadae Sana kushangaaa ugonjwa kuuona ukiwa umefika mbali, nikuulize tena hivi unajua maaana ya mazingaombwe? Kama unajua Sina haja kuendelea na hilo nikukumbushe tu kuwa nabiii Mchungaji Yule wa Mwenge aliesema kuwa umeme atauzuia kakobe alipoaanza alisema viwete wanapona, wenye ukimwi wanapona je ulilisikia hilo? Sasa nikuulize Kama ulilisikia hilo wangapi wameishapona? Na wapo wapi? Na Kama wanapona Kwa nini pale jirani yake hospital ya mama Ngoma wamejaaa hao wagonjwa?sidhani kama una jua ila
Wengi wanaoenda huko wana matatizo makubwa na hawana choice na wengine wanapona amini usiamini.
"Ceteris Paribus"
Kuna baadhi ya watu wameshazunguka Hospitali zote na hawajapata tiba.
Hawana kimbilio zaidi ya kuzunguka kwenye wachungaji na manabii .
Na kuna shuguda watu wanapona.
Mimi nimeona kwa macho yangu.
Maombi huponya. Japo hutaweza kuona kila mtu akipona haiwezekani.
Kwa hio msiwabeze watu.
Siku ukipigwa na gonjwa ( japo sikuombei) ndio utajua ninachojaribu kukueleza.
Acha na wewe kutupatia Kazi Ya kukuelimisha unatuambia kuwa angekuwa haponyi watu wangeenda huko, mbona unauliza swali la kitoto Sana? Sasa kule Kwa babu wa loliondo hukuona watu? Hukuona msululu toka mikoa mingne? Je aliponyesha? Na Kama aliponyesha Nani alipona? Kwa nini haendelei? Ninapataga Sana uchungu kuona watu wanauliza mambo madogo Sana ambayo watu wangeelewa Kwa kujiuliza tu maswali tu machache, yani uende kuponyesha watu halafu wafe upelekwe na MUNGU kusaidia watu halafu kiwe kilio hapo tena, yani unaenda kuwapelekea unafuuu umetumwa na MUNGU yaende kutokea majanga duuuuh watanzania sijui tulilogwa na NaniTuache watu na imani zao hivi mnadhani wangekuwa hawaponywi wangejazana pale kawe kwenye huduma yake?Watu wanatembea kwa umbali mrefu kutafuta usafiri wa kwenda kawe kukanyaga mafuta tu haijalishi ni ya kichawi au kiMungu lkn watu kwa imani zao wanapona.
Sent using Jamii Forums mobile app
Swali sio wenye dini bhana, hivi wewe unamkumbuka kakobe? Unamkumbuka Lakini kakobe enzi za 1996 ?unamkumbuka kakobe watu walivyo kuwa wanajaaa kule Mwenge? Unakumbuka kuwa watu walikuwa wanatoka had morogoro? Unakumbuka kuwa habari ya mujini kipindi hicho ilikuwa ni kakobe? Unajua kuwa Alikuwa akiwaponya hadi watu wenye ukimwi? Viwete wanatembea? Unakumbuka? Leo nenda kwenye kanisa la kakobe baba Hakuna mtu wapo wa kuhesabu tu hiyo ni baada ya watu kugundua kuwa Alikuwa muongo, Hakuna aliekuwa anapona,Wanaume wengi dini hawana.
WANAWAKE WENGI NDIO WANA DINI
NINI? HUJUI KITUKanisani sio sehemu ya kufundishwa Namna Ya kutajirika, Namna Ya kupata gari Au nyumba Au Kazi,
Siri ya kupona ugonjwa ulioshindikana hospital, Siri ya kuepuka majanga, Siri ya kupata kile unachokihitaji na Siri ya mafanikio, nikumtumikia MUNGU kwa kumkiri MUNGU, kumuishi MUNGU na kufuata maelekezo Yote ya MUNGU pasipo kupindisha hata chembe.
Hayo ndio wanayotumia kuwadanganya wasio jua Kama wewe na huenda na wewe ni nabiiii maaana hata humu mmejaaa tele, Mkuu wewe Kama ni mojawapo wewe endelea kuwapiga hela wasioelewa najua umejiajiri unafanya biashara ya mafuta ya arizeti wewe endelea kukanyagisha mafutaNINI? HUJUI KITU
Petro alikuwa maskini wa kutupwa alivua samaki usiku kucha hakupata kitu akaenda kwa Yesu alivyoona umaskini umemzidi .Yesu akamfundisha namna ya kutajirika chap chap akamwambia nenda katweke kilindini akavua samaki wemngi hadi akaita vyombo vingine vije kumsaidia kubeba utajiri mkuu wa samaki aliopata
Kuna siku walidaiwa kodi na pesa wakawa hawana Yesu akamfundisha petro pesa inapatikanaje chap chap akamwambia Nenda kavue samaki mmoja tu ukimvua mfunue mdomoni utamkuta ana pesa ya kutosha njoo nayo!!!
kanisani sio sehemu tu ya kusoma liturjia wewe!! na kutembea taratibu unanyata kama bibi harusi na kanzu!! BIBLIA inasema utajiri na heshima unapatikana kwake
Mithali. 8:18
Utajiri na heshima ziko kwangu,Naam, utajiri udumuo, na haki pia.
Harafu yakifa watu tunahuzunika,majitu mengine bhana hovyo sana.
macson
Wajinga wapo kila pembe ya nchi
Tulipewa utashi,sio kila kitu unafuata kama ng'ombe/mnyama.Kwamba wewe hutokufa?