Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Moyo lazima uume,its a simple maths kwamba ulikuwa attached na MTU to the fullest now ile attachment lazima uiachie maana haikufit sasa lile gap au shimo huachia vidonda ambavyo uponaji wake ni jitihada zako za kufix weakness zake na pia kufix mbadala alie bora kuliko yeye.Nashukuru kwa Ushauri wako.
Ingawa moyo unauma.
Kila LA heri naamni utayashinda yoteWell Said.
Noted.
Moyo utake usitake, Lazima maamuzi magumu niyatoe.
Shukrani kwa kunipa Moyo na Kunifanya niwe na nguvu.Moyo lazima uume,its a simple maths kwamba ulikuwa attached na MTU to the fullest now ile attachment lazima uiachie maana haikufit sasa lile gap au shimo huachia vidonda ambavyo uponaji wake ni jitihada zako za kufix weakness zake na pia kufix mbadala alie bora kuliko yeye.
Absolutely...sifa za wapendanao hazipo hivyoIt means, No Love there?
Usijali nina uzoefu wa hizo kashikashi Njia bora na wewe wacha kumtafuta kwa njia yoyoteWakuu, Habarini za mapumziko na Heka heka za kila siku.
Kuna kitu kinanitatiza mjumbe wenu;
Hivi Mwanamke anajisikiaje kuwa anapigiwa simu hapokei, Anatumiwa meseji hajibu. Na usipomtafuta, ndo basi hamuwasiliani(Yaani hadi umuanze wewe)
Na muda mwingine kwenye What's app meseji zinaonekana zimesomwa kabisa, lakini hajibu[emoji24].
Ukimlalamikia sana, baadae sana anakwambia neno "POLE GENIUSTIN" [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji119]
Hii Tabia inamaanisha nini?
Au Siku hizi nimeanza kuwa Mvulana!?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji119] maana hii Tabia ina niumiza sana.
Wanaume wenzangu na wanawake, Naombeni mnifafanulie, Ili nishtuke usingizini, Kikombe hiki nikiepuke.
Nawasilisha.
Hahahahahaha[emoji15] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji23] . Nisaidie kunishtua Kamanda wako. Nipo mtegoni
Nakuelewa mkuu, atakuwa kaniona mimi poyoyo aua Zuzu kama mmoja alivyosema.Tupa kule wewe maisha yaendelee, inaonekana unajipendekeza sana hadi anakudharau. Anakuona dhaifu.
Amini mkuu wanawake hawajui wakitakacho, ukimjali sana, anakuona bwege. We nae mpotezee.Nakuelewa mkuu, atakuwa kaniona mimi poyoyo aua Zuzu kama mmoja alivyosema.
Lazima nichague kunyoa, Haiwezekani maisha yenyewe mafupi haya.Hela tuhangaike kuzitafuta[emoji134] na Mwanamke naye awe pasua kichwa wa kutomjali mwenzie.
No way.
Bosi, ushauri mzuri sana. Nimeupokea. But nataka kumchana live kidogo.Usijali nina uzoefu wa hizo kashikashi Njia bora na wewe wacha kumtafuta kwa njia yoyote
Kama unampenda inauma ila ndani ya mwezi mzima unakuwa sawa life linaenda
Sasa mala nyingi zile ofa za missed call ztamfanya ajitafakali kidogo
Kama akifikia hatua ya kujishitukia na kujiludi kimawasiliano usimpapalikie nenda naye talatbu
Sasa ikifikia hatua hiyo usipende kuwasiliana na kwa simu , tumia mda mwingi kuwa naye face to face utagunduwa mengi sana tuu