Waungwana naomba mnishtue usingizini, mapenzi haya

Waungwana naomba mnishtue usingizini, mapenzi haya

Asante Maserati.
Nashukuru kwa short and clear answer.Nijifanye Zuzu tu mimi, wakati vitu viko very open.
Ndio hapo sasa.
Wewe una hangaika wakati yupo ambae akintumia sms anajibu hapo hapo hazipiti hata dakika 2. Hutujui wanawake ndio nakuambia sasa, tujichoka watu basi tunaanza visa aiseee sitopokea simu yako mpaka ukome na uache wewe. Ila mtumie ela tu, atakuheshimu.
 
Hapana usimchane live atapata cha kuongea
Mpigie Kimya ktk hilo
Kama ataamuwa kutoka na wewe jukumu lako ni kumbadilishia maeneo ya kukutania
Sawa. From the moment, No Call No Sms[emoji134]

Daah! Nahisi ndo basi tena, maana hata kulitafuta ilikuwa hadi nianze mimi.

Basi aende tu.
 
Kuna demu mmoja nilikuwa namtafuta mm mara nying,asa nkaona ngoja nijiondoe..nmekaa siku mbili bila kumtafuta,na yy akapiga kimyaa.
Asa jana mishale ya saa mbili usiku,akanitext "mimi naona sikufai,nikutakie maisha mema.pia nashkuru kwa muda wako ulio nipatia"
Nkapiga kimyaaa,mara akaja watsup akaniambia hvo hvo,nkasoma nkakaa kimya.mara akanitext teena,futa vitu vyangu pamoja na namba yangu ya simu,sihitaj mawasiliano na wewe teena.nkasoma halafu nkapiga kimyaaaa!
Mpka saiv hajanitext tena,

Vip wakuu,huyo nimjib au niendelee kupiga kimya?
 
Ndio hapo sasa.
Wewe una hangaika wakati yupo ambae akintumia sms anajibu hapo hapo hazipiti hata dakika 2. Hutujui wanawake ndio nakuambia sasa, tujichoka watu basi tunaanza visa aiseee sitopokea simu yako mpaka ukome na uache wewe. Ila mtumie ela tu, atakuheshimu.
Asante Dada yangu, Asante kwa kuShare your views na siri zenu za Wanawake. Nimekuelewa sana.

Hhahahahhahaha, Nimtumie Hela tena!??![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji119]
 
Ndio hapo sasa.
Wewe una hangaika wakati yupo ambae akintumia sms anajibu hapo hapo hazipiti hata dakika 2. Hutujui wanawake ndio nakuambia sasa, tujichoka watu basi tunaanza visa aiseee sitopokea simu yako mpaka ukome na uache wewe. Ila mtumie ela tu, atakuheshimu.
Na nikiacha[emoji134] ndo basi au imetoka au![emoji134] [emoji24]

But huyu msichana mzuri nyie khaa!
 
Back
Top Bottom