Waungwana naomba mnishtue usingizini, mapenzi haya

Nashukuru kwa Ushauri wako.

Ingawa moyo unauma.
Moyo lazima uume,its a simple maths kwamba ulikuwa attached na MTU to the fullest now ile attachment lazima uiachie maana haikufit sasa lile gap au shimo huachia vidonda ambavyo uponaji wake ni jitihada zako za kufix weakness zake na pia kufix mbadala alie bora kuliko yeye.
 
Shukrani kwa kunipa Moyo na Kunifanya niwe na nguvu.
 
Usijali nina uzoefu wa hizo kashikashi Njia bora na wewe wacha kumtafuta kwa njia yoyote
Kama unampenda inauma ila ndani ya mwezi mzima unakuwa sawa life linaenda
Sasa mala nyingi zile ofa za missed call ztamfanya ajitafakali kidogo
Kama akifikia hatua ya kujishitukia na kujiludi kimawasiliano usimpapalikie nenda naye talatbu
Sasa ikifikia hatua hiyo usipende kuwasiliana na kwa simu , tumia mda mwingi kuwa naye face to face utagunduwa mengi sana tuu
 
Tupa kule wewe maisha yaendelee, inaonekana unajipendekeza sana hadi anakudharau. Anakuona dhaifu.
Nakuelewa mkuu, atakuwa kaniona mimi poyoyo aua Zuzu kama mmoja alivyosema.

Lazima nichague kunyoa, Haiwezekani maisha yenyewe mafupi haya.Hela tuhangaike kuzitafuta[emoji134] na Mwanamke naye awe pasua kichwa wa kutomjali mwenzie.

No way.
 
Nakuelewa mkuu, atakuwa kaniona mimi poyoyo aua Zuzu kama mmoja alivyosema.

Lazima nichague kunyoa, Haiwezekani maisha yenyewe mafupi haya.Hela tuhangaike kuzitafuta[emoji134] na Mwanamke naye awe pasua kichwa wa kutomjali mwenzie.

No way.
Amini mkuu wanawake hawajui wakitakacho, ukimjali sana, anakuona bwege. We nae mpotezee.

Utaleta mrejesho ameanza kukutafuta.
 
Mbona umeshaamka usingizini tayari mkuu. Yaani namba huzisomi herufi huzisimi hata alama za ishara nazo huzielewi??
 
Bosi, ushauri mzuri sana. Nimeupokea. But nataka kumchana live kidogo.
Afu ndo niache kumtafuta kwa njia yoyote.

Unaonaje hii?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…