Waungwana tuwe na msimamo tusiwe wanafiki.

Babu kijana kazini
.jpg

Ushajua jinsia yake lakini?
 
Shosti tu wewe,ukianzisha uzi uwe na majibu ya adabu la sivyo utajitekenya na kucheka mwenyewe poleeeeee.
Naomba usinivunjie heshima unanita shost unanifaham mimi? kama unatafuta mtu wa kulumbana nae kwangu mimi naomba utafute pa kwenda,.. Vinginevyo utanisababishia ban sasa hivi.
 
Nyingine ni mtu anaweka kisa chake jukwa la chitchat huko inahusu mada husika, mtu anakuja kucomment eti badala mzungumze Tanzania ya viwanda nyinyi mnasema hayo.
Yaani mtu kaona jina la jukwaa ni chitchat yaani porojo.

Mwingine anakuja kwenye post hiyohiyo anajifanya mhariri mara zingatia alama za uandishi mara akuulize upo darasa la ngapi kisa tu uandishi wako

Achana na hayo ya ulokole kuna mijitu humu inajifanya mijuaji kumbe kichwani ni patupu, ilimradi aonekane yupo kisomi
Mapopoma kabisaaa
 
Na ile inayosemaga
Mod ondoeni huu uchafu
 
sasa na mimi nipo siriazi kweli, nasema nina URARU hapa balaa.. msichana wa jf mwenye URARU anifate pm haraka tutatue tatizo hili
 
Back
Top Bottom