Waungwana tuwe na msimamo tusiwe wanafiki.

Waungwana tuwe na msimamo tusiwe wanafiki.

Unataka uhuru wa kibiashara au sijaelewa vizuri?
 
Humu kila mtu mwema hajawah kosea,hajawah tenda wala kutendwa watu wamejaa unafiki kiwango cha reli
 
Unakuta mtu humu anajifanya mwema kumbe hamna kitu debe tupuu,..
Unaweza kuona mwenzako kaweka thread yake ambayo binafsi ndo alivyo na hajifichi nyuma ya keyboard,,, ili kutaka sifa kama wewe kumbe mnafiki tu.

Ukiona mwenzako anaelezea hisia zake mwache kama alivyo, na wewe tafuta mada ya kwako yenye mafunzo utufundishe hapa. Utakuta mtu akiona mwenzake kasema "Nina nyege nahitaji mtu wa kugegedana na hapa, mwenye uhitaji kama mimi aje pm."

Basi utakuta mijitu mingine inajifanya milokole sijui miustadh kumbe hamna kitu. Tuwe wakweli walio wengi hapa hamna kitu, ni wachache mno ambao hawana haya mambo.

Huko pm laiti ingekua tunaona na sisi wengine kinachoendelea basi hawa wanaojifanya watu wa Mungu wakiwa hapa wangeumbuka.

Demiss
Miss natafuta
Mzigua90
Mambembe
Shunie

Mkiwa na mambo yenu usiogope mtu hapa tiririka maana hapa wengi hatujuani kwa sura wala makabila.
So ukiwa na shida ya fulani hapa jimwage upo huru...
mbona list imejaa wanawake iyo si useme tu kama unataka kuwato.mba mmoja baada ya mwingine
 
Back
Top Bottom