Waungwana tuwe na msimamo tusiwe wanafiki.

mambembe naona umeamua kuitumia hii I'd yako nyingine
 
Nataka niseme lakini ngoja niache tuu maana......
 
Haya maisha ukijifanya upo serious sana hutoish kwa raha, vitu kama hivyo lazima viwepo na ndivyo vinavyokamilisha neno Maisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…