Waungwana tuwe na msimamo tusiwe wanafiki.

Mkuu sisi na hiyo mada uhusika wetu ukoje?
 
Unataka uhuru wa kibiashara au sijaelewa vizuri?
 
Humu kila mtu mwema hajawah kosea,hajawah tenda wala kutendwa watu wamejaa unafiki kiwango cha reli
 
mbona list imejaa wanawake iyo si useme tu kama unataka kuwato.mba mmoja baada ya mwingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…